Ministry of education in tanzania - FORM FIVE SELECTED STUDENTS
SELECTION KIDATO CHA TANO |
Post za kidato cha tano 2016/2017, selection kidato cha tano 2016/2017, form five.
majina ya waliochaguliwa kidato cha tano 2017 - Are Out!
MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO MWAKA 2017/2018
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2016/2017 Sasa yametoka
WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2016 - Yametolewa Rasmi
OWM - TAMISEMI - MATOKEO YA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO (FORM FIVE SELECTION) 2016/2017 ...... New Updates
SELECTION ZA KIDATO CHA TANO KWA MWAKA 2016/2017 ..... Newly Updated
OWM - TAMISEMI - MATOKEO YA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO (FORM FIVE SELECTION) 2016/2017
LIST OF FORM FIVE SELECTED STUDENTS FOR THE ACADEMIC YEAR 2016/2017 1ST SELECTION - Are out!
HOW DO TOP STUDENTS STUDY?
HOW TO BECOME A SUCCESSFUL STUDENT
Pata Matokeo Yote Ya Mitihani - One Spot For All The Examination Results New Updates (Kidato cha Nne, Kidato cha Pili na Darasa la Nne)
SELECTION KIDATO CHA TANO 2015/2016, SELECTION FORM FIVE 2015/2016 Updated, LIST OF FORM FIVE SELECTED STUDENTS FOR THE ACADEMIC YEAR 2015/2016.
BREAKING NEWS>> Form Five selection 2017/2018
HOW TO GET READY FOR YOUR EXAMS
KUANGALIA MAJINA KWA KILA KITUO ULICHOFANYIA MTIHANI PAMOJA NA JOINING INSTRUCTIONS.
1. FORM FIVE THIRD SELECTION 2017 - ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZIWALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO AWAMU YA TATU (THIRDSELECTION) KWA MWAKA 2017
2. SELECTION FORM FIVE 2017/2018 - Are out - New Updates!
3. FORM FIVE SELECTION 2017/2018 - JOINING INSTRUCTION 2017/2018 - New Updates
4. DOWNLOAD MAJINA YOTE HAPA SELECTION FORM FIVE 2016/2017
5. FORM FIVE SELECTION 2016/2017 - JOINING INSTRUCTIONS
6. DOWNLOAD MAJINA YOTE HAPA SELECTION FORM FIVE 2015/2016
7. HESLB - HIGHER EDUCATION STUDENTS’ LOANS BOARD - ONLINE LOAN APPLICATION 2016/2017
8. TIMETABLE & NOTICE TO CSEE CANDIDATES 2016
OTHER UPDATES
NACTE SELECTION FOR ACADEMIC YEAR 2017/2018 - New Updates
PAST PAPERS FOR RIVISION / Form two past papers, Form four past paper, From six past papers (Rivision Made Simple)
NECTA CSEE - MATHEMATICS QUESTIONS & ANSWERS - For Revision - New Updates
TOP 10 SECONDARY SCHOOLS IN TANZANIA - New Updates
NAFASI ZA KAZI/AJIRA KWA WALIMU WA SAYANSI NA HISABATI - New Updates
TCU - Change of Procedure for Admissions to Undergraduate Programmes for 2017/2018 Academic Year - New Updates
ACSEE 2017 TIMETABLE
Message of hope to young people - Once you begin that walk, others will find you and walk with you...
NACTE SECOND SELECTION 2016/2017 PUBLIC NOTICE.
NACTE THIRD SELECTION 2016/2017 PUBLIC NOTICE.
JOINING INSTRUCTIONS VYUO VYA UALIMU 2016/2017
Form five posts 2016/2017, Form Five Selection 2016/2017, NECTA 2016 selection post, post form five, post form five 2016, necta selection form five 2016/2017.
form five selection 2017 |
HOW TO READ AND STUDY TEXTBOOKS
TAARIFA KWA UMMA 2016
24-JUNI-2016.
OR-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga
na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016. Wanafunzi
waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali. Jumla
ya wanafunzi 65,720 wakiwemo wasichana 29,457 na wavulana 36,263
wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi. Kati ya
wanafunzi waliochaguliwa 34,064 wakiwemo wasichana 13,466 na wavulana
20,598 sawa na asilimia 52 watajiunga na masomo ya Sayansi na
Hisabati; na wanafunzi 30,897 wakiwemo wasichana 15,445 na wavulana
15,452 sawa na asilimia 47 wamechaguliwa kusoma masomo ya Sanaa na
Biashara na wanafunzi 759 wakiwemo wasichana 220 na wavulana 539 sawa na
asilimia 1 wamechaguliwa kujiunga na vyuo vya Ufundi.
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2016 wataanza muhula wa kwanza tarehe 11 Julai, 2016 na hakutakuwa na mabadiliko yoyote ya shule. Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti hadi tarehe 24 ambayo ndiyo siku ya mwisho ya kuripoti, nafasi yake itachukuliwa na mwanafunzi mwingine aliyekosa nafasi.
Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi mwaka 2016 pamoja na fomu za kujiunga (joining instructions) inapatikana kwenye tovuti ya OR-TAMISEMI ya www.tamisemi.go.tz
Tumia link hii kupata matokeo Waliochaguliwa kidato cha tano na vyuo vya ufundi 2016
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2016 wataanza muhula wa kwanza tarehe 11 Julai, 2016 na hakutakuwa na mabadiliko yoyote ya shule. Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti hadi tarehe 24 ambayo ndiyo siku ya mwisho ya kuripoti, nafasi yake itachukuliwa na mwanafunzi mwingine aliyekosa nafasi.
Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi mwaka 2016 pamoja na fomu za kujiunga (joining instructions) inapatikana kwenye tovuti ya OR-TAMISEMI ya www.tamisemi.go.tz
Imetolewa na Katibu Mkuu,
OR-TAMISEMI
OR-TAMISEMI
Tumia link hii kupata matokeo Waliochaguliwa kidato cha tano na vyuo vya ufundi 2016
6 TOP SECRETS TO IMPROVE YOUR MEMORY
Form Six Exams - ACSEE PAST PAPERS - (Revision Made Simple)
NACTE - Admission into Certificate, Diploma & Higher Diploma for academic year 2016/2017
NACTE - SABABU ZA KUTOKUCHAGULIWA KWA BAADHI YA WALIOOMBA KUDAHILIWA KATIKA KOZI ZA CHETI NA DIPLOMA KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017
THE POWER OF BODY LANGUAGE IN COMMUNICATION
TAARIFA KWA UMMA 2015
OWM-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano (FORM FIVE SELECTION) 2015/2016 na Vyuo vya Ufundi, Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali.Jumla ya wanafunzi 55,003 wakiwemo wasichana 23,303 na wavulana31,700 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi.
Kati ya wanafunzi waliochaguliwa 29,744 wakiwemo wasichana 11,450 nawavulana 18,294 sawa na asilimia 54.08 watajiunga na masomo ya Sayansina Hisabati; na wanafunzi 25,259 wakiwemo wasichana 11,853 nawavulana 13,406 sawa na asilimia 45.92 wamechaguliwa kusoma masomoya Sanaa na Biashara.
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano (FORM FIVE SELECTION) 2015/2016 wataanza muhula wa kwanza tarehe 18 Julai, 2015 na hakutakuwa nafursa ya mabadiliko yoyote ya shule.
Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti kwa zaidi ya siku 14 kuanzia tarehe ya mwisho yakuripoti, nafasi yake itachukuliwa na mwanafunzi mwingine aliyekosa nafasi.
Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano (FORM FIVE SELECTION) 2015/2016 na Vyuo vya Ufundi inapatikana kwenye tovuti ya OWMTAMISEMI
ya www.pmoralg.go.tz
Imetolewa na Katibu Mkuu,
WHAT ARE THE HEALTH BENEFITS OF EATING RAW?
HUMAN Perception
LIST OF FORM FIVE SELECTED STUDENTS FOR THE ACADEMIC YEAR 2016/2017 1ST SELECTION - Are now out!
OWM-TAMISEMI-Matokeo ya Kujiunga na Kidato Cha Tano 2016 - Form five selection this year, Ministry of Education and Vocational Training (MOE) Form Five Selection, Form Five Selection Criteria, Form five selection method, Form five selection Tanzania, Uchaguzi wa kujiunga na kidato cha tano 2015/2016, Matokeo ya kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2015/2016.
TAHASUSI ZILIZOPO | IDADI YA WANAFUNZI |
PCB | 8402 |
HGL | 8112 |
CBG | 7920 |
PCM | 6438 |
HKL | 6321 |
HGK | 5797 |
EGM | 4178 |
HGE | 3755 |
PGM | 1567 |
ECA | 1143 |
CBA | 544 |
CBN | 218 |
KLF | 131 |
LAB | 69 |
TEL | 53 |
CIV | 52 |
ELE | 50 |
MEC | 44 |
CPT | 36 |
HWE | 27 |
AUT | 20 |
WS | 19 |
ARC | 17 |
WQT | 16 |
WRIT | 16 |
HY | 16 |
HG | 16 |
BEE | 15 |
MINE | 14 |
JUMLA KUU | 55006 |