NACTE |
NACTE - YATOA TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA AWAMU YA TATU, UHAMISHO NA KUONGEZWA KWA MUDA WA KUFANYA MAOMBI KATIKA KOZI ZA ASTASHAHADA (CHETI) NA STASHAHADA (DIPLOMA) KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017.
THE BETTER METHOD OF STUDY
GETTING READY FOR YOUR EXAMS
JOINING INSTRUCTIONS VYUO VYA UALIMU 2016/2017
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuwaarifu wote walioomba kudahiliwa katika kozi za Astashahada (Cheti) na Stashahada (Diploma) na Umma kwa ujumla kuwa dirisha la maombi lilifungwa mnamo tarehe 15 Septemba 2016 ili kuruhusu uteuzi wa awamu ya pili kwa waombaji wa kozi hizo.
Uteuzi wa awamu ya tatu kwa waombaji wa Astashahada na Stashahada unatarajiwa kutangazwa mnamo tarehe 5 Oktoba 2016, hivyo basi waombaji wanaombwa kuwa na subira ili kutoa muda kwa Baraza kukamilisha taratibu za uteuzi huo.
NACTE - Maombi mapya ya Udahili
Baraza linapenda kutoa taarifa kuwa Mfumo wa Pamoja wa Udahili (CAS) utafunguliwa tena tarehe 5 Oktoba 2016 hadi tarehe 15 Oktoba 2016 ili kujaza nafasi za udahili zilizobaki wazi baada ya uchaguzi wa awamu ya pili. Hatua hii itawezesha kuruhusu machaguo mapya kwa wale ambao hawakuchaguliwa katika kozi walizoomba pamoja na kuruhusu waombaji wapya ambao kwa njia moja au nyingine hawakuweza kuomba hapo awali.
NACTE - Maombi ya Uhamisho
Mwombaji aliyechaguliwa ataweza kuomba uhamisho kutoka chuo ama kozi moja kwenda nyingine kupitia kwenye ukurasa wake binafsi (profile) tu. Uhamisho huu utategemea nafasi zilizopo, ushindani na alama za chini za kujiunga na kozi (cut-off). Orodha ya Vyuo na Programu zenye nafasi zitatolewa hivi punde.
PATA TAARIFA ZAIDI HAPA >>>>>>> NACTE YATOA NAFASI ZA APPLICATION - DIPLOMA NA CHETI KWA AWAMU YA TATU 2016/2017 KUANZIA TAREHE 05 - 15 - OCT 2016.
ORODHA YA VYUO NA PROGRAMU ZENYE NAFASI - NACTE
Biological Terms
Albinism - Lack of pigmentation.
Adaptive convergence - The process of different kinds of organisms becoming more alike as a result of selection by the same environment.
Adaptive radiation - The process of change during dispersal into new environments. Eventually different populations of a species may change in many different ways as they disperse, until many new species appear.
Adenosine - C5H5N5, a purine found in nucleic acids that always pairs with thymine or uracil.
Adrenal cortex - The outer part of the adrenal gland, which makes corticotropic hormones.
Adrenal medulla - The inner part of the adrenal gland, which makes adrenaline.
Agnatha - The vertebrate class that includes jawless fishes.
Abyssal zone - The deepest part of the ocean, where it is very cold and dark.