Matokeo ya darasa la saba mwaka 2019 - PSLE Results 2019/2020
Ni Nani Ataongoza Mwaka Huu 2019 Katika Matokeo Ya Mtihani Wa Darasa La Saba? Sasa Ni wazi aliyeongoza si mwingine bali ni Grace Imori Manga wa wa shule ya msingi Graiyaki ya mkoani Mara na Mwaka Jana Alikuwa Ndemezo Rutanikwa Kutoka Shule Ya Kadama Mkoa Wa Geita. Tutakujuza Yote Kwenye Ukurasa Huu Wa Matokeo La Saba. Tazama kwenda chini kuangalia watahiniwa kumi (10) Bora kitaifa.
SASA NI RASMI MATOKEO YA DARASA LA SABA MWAKA 2019 YAMETANGAZWA NA NECTA
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani wa darasa la saba ya mwaka 2019. Ufaulu umeongezaka kwa asilimia 3.78 ikilinganishwa na mwaka 2018, Shule msingi Graiyaki ya mkoani Mara ndiyo shule bora kitaifa na wanafunzi wake watano wameingia kumi bora. Asilimia 81.50 ya watahiniwa 933,369 wamefaulu mtihani huo huku watahiniwa 909 wakifutiwa matokeo kwa sababu ya udanganyifu.
MWANAFUNZI BORA KATIKA MTIHANI WA DARASA LA SABA MWAKA 2019
Watahiniwa Kumi (10) Bora Kitaifa - Matokeo la saba 2019
- Grace Imori Manga wa shule ya msingi Graiyaki ya mkoani Mara
- Francis Gwani wa shule ya msingi Paradise ya mkoani Geita
- Loi Kitundu wa Shule ya msingi Mbezi ya Dar es Salaam.
- Victor Godfrey wa shule ya msingi Graiyaki,
- Azizi Yassin wa Graiyaki
- Goldie Hhayuma wa Graiyaki,
- Daniel Daniel wa shule ya msingi Little Mkoani Shinyanga,
- Hilary Nassor wa Peaceland ya Mwanza,
- Mbelele Mbelele wa Kwema Modern ya Shinyanga
- Nyanswi Richard wa Graiyaki ya Mara
Shule Kumi (10) Bora Kitaifa - PSLE NECTA Results 2019
- Graiyaki ya Mara
- Twibhoki ya Mara
- Kemebos ya Kagera
- Little Treasures ya Shinyanga
- Musabe ya Mwanza
- Tulele ya Mwanza
- Kwema Morden ya Shinyanga
- Peaceland ya Mwanza
- Mugini ya Mwanza na
- Rocken Hill ya Shinyanga
Wahitimu wa darasa la saba waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2019 - Fanyeni Maandalizi Mapema ya Kuwapokea Kidato cha Kwanza
Ifikapo Janueari 2019
Serikali imeziagiza Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mikoa kujipanga na
suala la ongezeko la wanafunzi wanaoingia kidato cha kwanza mwaka 2019.
Kauli hiyo ya Serikali imetolewa na Tixon Nzunda Naibu Katibu Mkuu
Ofisi ya Rais TAMISEMI (ELIMU) wakati akiwa ziarani katika halmashauri
za Ikungi na Manyoni mkoani Singida kuwa mikoa na halmashauri zote
zihakikishe zinaandaa mazingira wezeshi ili wanafunzi wote waliofaulu
kuingia kidato cha kwanza waweze kuanza masomo ifikapo mwezi januari
2019.
Nzunda amesema kuwa sio lazima viongozi wa Mikoa na Mamlaka za Serikali
za Mitaa kusubiri mpaka viongozi wa juu kama Mheshimiwa Rais, kuingilia
kati na kuagiza suala kama hili la madarasa na madawati
Matokeo ya darasa la saba 2019 necta
MPANGILIO KWA UBORA WA UFAULU KATIKA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PSLE) 2018
Watahiniwa Kumi (10) Bora Kitaifa - Matokeo la saba 2018/2019
NA. |
JINA |
SHULE |
1. |
NDEMEZO RUTAKWA LUBONANKEBE - MKOA WA GEITA |
KADAMA |
2. |
INNOCENT PAUL SELELI - MKOA WA MOROGORO |
CARMEL |
3. |
GIVEN COSMAS MALWANGO - MKOA WA ARUSHA |
TUMAINI JUNIOR |
4. |
DIOMEDES JAMES MBOGO- MKOA WA KAGERA |
ST. ACHLEUS KIWANUKA |
5. |
SWEETBERT JOSEPH JOHN - MKOA WA SHINYANGA |
MINGAS |
6. |
NAJMA MUNA MANJI - MKOA WA MWANZA |
NYAMUGE |
7. |
BEATRICE BARAKA JEREMIAH - MKOA WA MARA |
MAPINDUZI B |
8. |
MOHAMED ABDIRAHMAN MOHAMED - MKOA WA TANGA |
RASKAZONE |
9. |
LUQMAN SULTAL ALLY - MKOA WA TANGA |
RASKAZONE |
10. |
FRANCISCO ALPHONCE MAIGA - MKOA WA GEITA |
KADAMA |
Wavulana Kumi (10) Bora Kitaifa - PSLE Results 2018/2019
NA. |
JINA |
SHULE |
1. |
NDEMEZO RUTAKWA LUBONANKEBE - MKOA WA GEITA |
KADAMA |
2. |
INNOCENT PAUL SELELI - MKOA WA MOROGORO |
CARMEL |
3. |
DIOMEDES JAMES MBOGO - MKOA WA KAGERA |
ST. ACHLEUS KIWANUKA |
4. |
SWEETBERT JOSEPH JOHN - MKOA WA SHINYANGA |
MINGAS |
5. |
MOHAMED ABDIRAHMAN MOHAMED - MKOA WA TANGA |
RASKAZONE |
6. |
LUQMAN SULTAL ALLY - MKOA WA TANGA |
RASKAZONE |
7. |
FRANCISCO ALPHONCE MAIGA - MKOA WA GEITA |
KADAMA |
8. |
MASOUD SALEHE KITOBOLI - MKOA WA TABORA |
ZUGIMLOLE |
9. |
AMON HAGAI JARED - MKOA WA DAR ES SALAAM |
TUSIME |
10. |
ELIAH EXAVERY INONGU -MKOA WA MWANZA |
MZIGU |
Wasichana Kumi (10) Bora Kitaifa - Matokeo ya darasa la saba mwaka 2018/2019
NA. |
JINA |
SHULE |
1. |
GIVEN COSMAS MALWANGO - MKOA WA ARUSHA |
TUMAINI JUNIOR |
2. |
NAJMA MUNA MANJI - MKOA WA MWANZA |
NYAMUNGE |
3. |
BEATRICE BARAKA JEREMIAH - MKOA WA MARA |
MAPINDUZI B |
4. |
HAMISA ALLY KASELE -MKOA WA DAR ES SALAAM |
TUSIME |
5. |
KAREEN CHARLES GABRIEL - MKOA WA DAR ES SALAAM |
TUSIME |
6. |
ROSE COSMAS SAMSON - MKOA WA MWANZA |
NYAMUNGE |
7. |
RAHMA JUMA SHAABAN - MKOA WA DAR ES SALAAM |
FOUNTAIN GATE |
8. |
ASHURA WILLY MEMBA - MKOA WA DAR ES SALAAM |
HAVARD |
9. |
CAREEN EMANUEL PALLAGYO - MKOA WA DODOMA |
MARTIN LUTHER |
10. |
MERLYN GODSON MOLLEL- MKOA WA ARUSHA |
GREEN ACRES |
Shule Kumi (10) Bora Kitaifa - PSLE NECTA Results 2018/2019
JINA LA SHULE |
IDADI |
NAFASI |
RASKAZONE -MKOA WA TANGA |
55 |
1 |
NYAMUNGE - MKOA WA MWANZA |
114 |
2 |
TWIBHOKI - MKOA WA MARA |
71 |
3 |
KWEMA MODERN - MKOA WA SHINYANGA |
45 |
4 |
ROCKEN HILL - MKOA WA SHINYANGA |
50 |
5 |
ST. ANNE MARIE - MKOA WA DAR ES SALAAM |
59 |
6 |
JKIBIRA - MKOA WA KAGERA |
70 |
7 |
ST. ACHILEUS KIWANUKA - MKOA WA KAGERA |
76 |
8 |
ST. SEVERINE - MKOA WA KAGERA |
65 |
9 |
RWEIKIZA - MKOA WA KAGERA |
120 |
10 |
Shule Kumi (10) Ambazo Hazikufanya Vizuri
JINA LA SHULE |
IDADI |
NAFASI |
MANGIKA - MKOA WA TANGA |
62 |
1 |
MWAZIZI - MKOA WA TABORA |
42 |
2 |
ISEBANDA - MKOA WA SIMIYU |
56 |
3 |
MALAGANO - MKOA WA TABORA |
52 |
4 |
MAGANA - MKOA WA MARA |
84 |
5 |
KODODO -MKOA WA MOROGORO |
69 |
6 |
MTINDILI - MKOA WA TANGA |
92 |
7 |
LUMALU - MKOA WA RUVUMA |
41 |
8 |
CHIDETE - MKOA WA DODOMA |
37 |
9 |
MAVULUI - MKOA WA TANGA |
93 |
10 |
MATOKEO YA MITIANI MINGINE