PSLE 2017 EXAM TIMETABLE - TIMITABLE DARASA LA SABA 2017
NECTA PSLE 2017 TIMETABLE.pdf
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
RATIBA YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI
PRIMARY SCHOOL LEAVING EXAMINATION TIMETABLE SEPTEMBA 2017
Shule Bora Tanzania - TOP 10 Best Secondary Schools In Tanzania - New Update
HOW TO STUDY FOR EXAMS
Standard Seven Exams Past papers (PSLE) - NECTA - New Updates
TAREHE NA SIKU | MUDA (SAA) | NAMBA MFICHO | SOMO |
06.09.2017 JUMATANO | 2:00 – 3:30 | 02 | ENGLISH LANGUAGE |
3:30 – 4:30 | MAPUAMZIKO | ||
4:30 – 6:30 | 04 04E | HISABATI MATHEMATICS | |
6:30 – 8:30 | 6:30 – 8:30 | ||
8:30 – 10:00 | 03 03E | MAARIFA YA JAMII SOCIAL STUDIES | |
07.09.2017 ALHAMISI | 2:00 – 3:30 | 05 05E | SAYANSI SCIENCE |
3:30 – 4:30 | MAPUMZIKO | ||
4:30 – 6:00 | 01 | KISWAHILI |
Biology Lessons & Notes - FORMS I, II, III, IV
Mtihani Wa Darasa La Saba Wa Taifa 2017/2018 - New Updates
PSLE 2017 EXAM TIMETABLE - TIMITABLE DARASA LA SABA 2017
MAELEKEZO MUHIMU- Hakikisha kuwa unayo Ratiba ya Mtihani ya mwaka 2017 iliyoandaliwa na Baraza la Mitihani la Tanzania.
- Kabla ya kufungua bahasha yoyote yenye maswali ya mtihani, hakikisha kwamba unasoma jina la somo juu ya bahasha husika na kujihakikishia kuwa somo hilo ndilo linalostahili kufanyika wakati huo kulingana na Ratiba ya Mtihani.
- Endapo utata utajitokeza kati ya maelekezo yaliyomo ndani ya Karatasi ya Mtihani na Ratiba ya Mtihani, maelekezo yaliyomo katika karatasi ya mtihani husika ndiyo yatakayofuatwa.
- Watahiniwa WASIOONA na wale wenye UONI HAFIFU waongezewe MUDA WA ZIADA WA DAKIKA 10 KWA KILA SAA kwa mtihani wa Kiswahili, English Language, Maarifa ya Jamii na Sayansi.
- Watahiniwa WASIOONA na wale wenye UONI HAFIFU waongezewe MUDA WA ZIADA WA DAKIKA 20 KWA KILA SAA kwa mtihani wa Hisabati.
- Msimamizi wa watahiniwa WASIOONA awe mtaalamu mwaminifu aliye na uwezo wa kusoma maandishi na alama za ‘Braille’.
- Watahiniwa wenye UONI HAFIFU wapewe karatasi za mtihani na za kujibia zenye maandishi yaliyokuzwa, zilizoandaliwa na Baraza la Mitihani la Tanzania kwa matumizi yao.
- Karatasi zenye majibu ya watahiniwa wenye UONI HAFIFU zifungwe kwenye bahasha za pekee. Zisichanganywe na karatasi za watahiniwa wenye Uoni wa kawaida.