MAHITAJI MUHIMU KWA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT - 2015

MAJINA YA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT 2019 - New Updates  


mahitaji jkt 2017 

 

KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT 2016

 

MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA ANAWATANGAZIA VIJANA IDADI 20,000 WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2015 KUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA . WANATAKIWA KURIPOTI KWENYE VIKOSI VYA MAFUNZO WALIVYOPANGIWA KUANZIA TAREHE 08 JUNI 2015. MAFUNZO YATAANZA RASMI TAREHE 15 JUNI 2015 NA KUMALIZIKA TAREHE 15 SEPTEMBA 2015.

YAFUATAYO YAZINGATIWE:

  • VIJANA WANAOTAKIWA KUJIUNGA WAWE RAIA WA TANZANIA.

  • WARIPOTI WAKIWA NA VYETI HALISI VYA KUZALIWA NA KUMALIZA KIDATO CHA SITA (LEAVING CERTIFICATE).

  • VIJANA WENYE ULEMAVU UNAOONEKANA WARIPOTI KIKOSI CHA RUVU.

Kama ilivyo ada nchini kwa wahitimu wote kidato cha sita wanatakiwa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mujibu wa sheria ili kupata mafunzo ya kijeshi. Leo hii Jeshi la Kujenga Tifa limetangaza na kutoa majina ya wahitimu wote wa kidato cha sita mwaka huu 2015 ambao watatakiwa kuanza kuripoti katika kambi husika za Mafunzo ya kijeshi (JKT), kuanzia mwezi Juni 08 2015 na mafunzo yataanza rasmi Juni 15 2015.Mafunzo hayo yatachukua muda wa miezi 3 hadi hapo mwezi Septemba 15 2015. Bofya linka hapa chini uweze kusoma majina ya wanafunzi hao na kambi walizopangiwa.

TURN BACK THE CLOCK ON YOUR FACE

Do I Need A College Degree To Make Good Money In Today's World?  

 

12 - Laws Of Writing A Business Plan