PSLE EXAM TIMETABLE 2020 - RATIBA YA MTIHANI WA DARASA LA SABA MWAKA 2020

RATIBA YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI 2020 (PRIMARY SCHOOL LEAVING EXAMINATION TIMETABLE) SEPTEMBA 2020


TAREHE NA SIKUMUDA (SAA)NAMBA MFICHOSOMO
09.09.2020
JUMATANO
2:00-3:3001KISWAHILI
3:30-4:30MAPUMZIKO
4:30-6:3004
04E
HISABATI
MATHEMATICS
6:30-8:30MAPUMZIKO
8:30-10:0005
05E
SAYANSI
SCIENCE
10.09.2020
ALHAMISI
2:00-3:3002ENGLISH LANGUAGE
3:30-4:30MAPUMZIKO
4:30-6:0003
03E
 MAARIFA YA JAMII
 SOCIAL STUDIES

Watahiniwa waelekezwe;

  • Kuingia ndani ya chumba cha mtihani nusu saa kabla ya muda  wa mtihani na watakaochelewa kwa zaidi ya nusu saa baada ya mtihani kuanza hawataruhusiwa. 
  • Kufuata maelekezo yote yatakayotolewa na wasimamizi wa mtihani.
  • Kuandika namba ya mtihani  kwa usahihi.
  • Kutofanya mawasiliano ya maneno au kwa njia yoyote baina ya watahiniwa. Ikiwa mtahiniwa ana tatizo anatakiwa kunyosha mkono ili kuomba msaada kwa msimamizi wa mtihani.
  • Watakaojihusisha katika udanganyifu watafutiwa matokeo yao ya mtihani.