FTSEE NECTA Results 2018/2019 - Matokeo ya kidato cha pili 2018/2019

Pata Matokeo Ya Mtihani Wa Kidato Cha Pili 2019 - Matokeo Ya Form Two 2019/2020 

 

Matokeo upimaji Kidato cha Pili 2019

WINNERS ARE MADE, NOT BORN!

 
MATOKEO YA KIDATO CHA PILI MWAKA 2019/2020 Dar es salaam - NECTA FTSEE  EXAMINATION RESULTS 2019  Zanzibar

NECTA Yatangaza matokeo ya kidato cha pili wa mwaka 2018 kuyatazama bofya hapa chini

 

TOP 10 SECONDARY SCHOOLS IN TANZANIA 2017 - Shule bora za sokondari.

 

Bofia Hapa>>MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2018 - FTSEE 2018 EXAMINATION RESULTS -  FORM TWO EXAMS RESULTS 2018 (NECTA)

OR

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2017 - FTSEE 2017 EXAMINATION RESULTS -  FORM TWO EXAMS RESULTS 2017 (NECTA)

OR

NECTA MATOKEO KIDATO CHA PILI 2017 - FTSEE 2017 EXAMINATION RESULTS -  FORM TWO EXAMS RESULTS 2017

 

MATOKEO KIDATO CHA PILI 2017 ZANZIBAR - FORM TWO EXAMS RESULTS 2017 Zanzibar 

 

MATOKEO KIDATO CHA PILI 2016 - FTSEE 2016 EXAMINATION RESULTS -  FORM TWO EXAMS RESULTS 2016 (NECTA) 

OR

MATOKEO KIDATO CHA PILI 2016 - FTSEE 2016 EXAMINATION RESULTS -  FORM TWO EXAMS RESULTS 2016 (NECTA) 

 

 

MATOKEO KIDATO CHA PILI 2015 - FTSEE 2015 EXAMINATION RESULTS -  FORM TWO EXAMS RESULTS 2015 (NECTA)

                               OR

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2015 - FORM TWO RESULTS (FTSEE) 2015 - NECTA  

 

MATOKEO KIDATO CHA PILI 2014 - FTSEE 2014 EXAMINATION RESULTS - FORM TWO EXAMS RESULTS 2014 (NECTA)

                                  OR

Bofia Hapa: FTSEE 2014 EXAMINATION RESULTS (FORM TWO) - MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2014

 


DO YOU WANT TO CHANGE THE WORLD AROUND YOU?HOW DO TOP STUDENTS STUDY?  - PART ITazama hapa >> matokeo ya kidato cha nne 2018 pindi yanapotangazwa na necta


OTHER EXAMINATION RESULTS


Bofia Hapa - MATOKEO YA MITIHANI DARASA LA NNE 2019  - NECTA

Bofia Hapa - MATOKEO YA MITIHANI DARASA LA SABA 2019 - NECTA


Bofia Hapa - MATOKEO YA MITIHANI KIDATO CHA PILI 2019 - NECTA


Bofia Hapa - MATOKEO YA MITIHANI KIDATO CHA NNE 2019 - NECTA


Bofia Hapa - MATOKEO YA MITIHANI KIDATO CHA SITA 2019  - NECTAEVERYTHING THAT HAPPENS TO YOU DEPENDS ON YOU ALONE!

 

TANGAZO LA USAJILI WA WATAHINIWA WA KUJITEGEMEA CSEE NA QT 2018

 

Katibu Mtendaji, Baraza la Mitihani la Tanzania anapenda kuwajulisha watu wote wanaotaka kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT) mwezi Novemba, 2018  kama Watahiniwa wa Kujitegemea kwamba;
  1. Kipindi cha usajili kwa watahiniwa wa kujitegemea kimeanza tarehe 1 Januari, 2018 kwa ada ya Shilingi 50,000/= kwa wanaojisajili CSEE na Shilingi 30,000/= kwa wanaojisajili QT na kitaishia tarehe 28 Februari, 2018. Aidha, watakaojisajili kwa kuchelewa kuanzia tarehe 01/03/2018 hadi tarehe 31/03/2018 watalipa Shilingi 65,000/= kwa watahiniwa wa Kidato cha Nne (CSEE) na Shilingi  40,000/= kwa watahiniwa wa mtihani wa Maarifa (QT) ikiwa ni ada ya kawaida pamoja na faini.
  2. Mtahiniwa atakaye jisajili kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) 2018 ni yule ambaye anarudia Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) au amefanya na kufaulu Mtihani wa Maarifa (QT) katika kipindi kisichozidi miaka mitano (5) iliyopita au mwenye sifa zinazolingana na hizo alizopata kutoka nje ya Nchi na kufanyiwa ulinganifu na Baraza la Mitihani la Tanzania.
  3. Mtahiniwa atakayejisajili kufanya Mtihani wa Maarifa ni yule ambaye anatafuta sifa ya kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne kama Mtahiniwa wa kujitegemea.
  4. Kabla ya kujisajili kwenye mtandao, waombaji wanapaswa kwenda kwenye vituo vya mitihani kuchukua namba rejea (reference number) zinazotolewa bure na kufanya malipo ya ada ya mtihani katika ofisi za Posta pekee. 
  5. Waombaji wote wanasisitizwa kuhakikisha wanajisajili mapema kwa njia ya mtandao kupitia tovuti ya Baraza la Mitihani ya www.necta.go.tz kwani mfumo wa usajili utafungwa baada ya kipindi cha usajili kumalizika.


Imetolewa na:
KATIBU MTENDAJI

Form Two National Assessment (Matokeo kidato cha pili Zanzibar)

NECTA FTSEE - Form Two Examination Formats


Each subject has an examination format, which describes the structure of the examination paper, and the content in which that particular examination covers. The details of subjects addressed are shown in individual examinations formats .


matokeo ya kidato cha pili 2019/2020 dar es salaam