Kumi bora kitaifa matokeo ya mtihani darasa la Saba mwaka 2020
“Watahiniwa hawa bora kitaifa ni wale ambao wamepata alama nyingi zaidi
kuliko wenzao kwenye masomo matano waliyotahiniwa, ambapo pia kuna
mchanganuo kwa wasichana 10 bora, wavulana 10 bora,” alisema Dk Msonde.
ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGIWA KWENYE VITUO NOVEMBER 2020
|
NECTA PAST PAPERS ZA DARASA LA SABA (MASWALI NA MAJIBU)
Aliyeongoza kumi bora Darasa la Saba 2020 (Harieth Joseph)
“Likizo
ya Corona niliitumia vizuri kusoma, maana matokeo ya mwaka jana ambayo
Grace Imori alikuwa malkia wa nguvu yalinitia moyo ikizingatiwa kuwa
alikuwa rafiki yangu,” ni maneno ya Herieth Josephat.
Amesema hakupoteza vipindi vyote vilivyopangwa na walimu, na wazazi wake walimwelewa nia yake wakampa nafasi ya kusoma.
“Nilimuahidi
mama yangu kuwa nitakuwa Tanzania One kwa kuwa nilijua ninaweza
kutokana na malengo yangu, walimu na maombi kwa Mungu. Aliyeongoza
mwaka jana alikuwa rafiki yangu, nilimuahidi nami nafuata nyayo zake
leo yametimia,” amesema Herieth alipozungumza leo Jumamosi Novemba 21,
2020 baada ya matokeo kutangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
nchini Tanzania.
Amesema kutokana na mikakati ya shule ya kuwa
na mazoezi ya mara kwa mara kwa watahiniwa wote darasani, alitegemea
kufanya vizuri kwa kuwa wasichana na wavulana walikuwa na ushindani
mkubwa.
NECTA PAST PAPERS ZA KIDATO CHA NNE (FORM FOUR MASWALI NA MAJIBU)
MWANAFUNZI BORA KATIKA MTIHANI WA DARASA LA SABA MWAKA 2019
Watahiniwa Kumi (10) Bora Kitaifa - Matokeo la saba 2019
- Grace Imori Manga wa shule ya msingi Graiyaki ya mkoani Mara
- Francis Gwani wa shule ya msingi Paradise ya mkoani Geita
- Loi Kitundu wa Shule ya msingi Mbezi ya Dar es Salaam.
- Victor Godfrey wa shule ya msingi Graiyaki,
- Azizi Yassin wa Graiyaki
- Goldie Hhayuma wa Graiyaki,
- Daniel Daniel wa shule ya msingi Little Mkoani Shinyanga,
- Hilary Nassor wa Peaceland ya Mwanza,
- Mbelele Mbelele wa Kwema Modern ya Shinyanga
- Nyanswi Richard wa Graiyaki ya Mara
Shule Kumi (10) Bora Kitaifa - PSLE NECTA Results 2019
- Graiyaki ya Mara
- Twibhoki ya Mara
- Kemebos ya Kagera
- Little Treasures ya Shinyanga
- Musabe ya Mwanza
- Tulele ya Mwanza
- Kwema Morden ya Shinyanga
- Peaceland ya Mwanza
- Mugini ya Mwanza na
- Rocken Hill ya Shinyanga
ORODHA YA MAJINA YA WALIOFANYA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2019
Serikali imeziagiza Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mikoa kujipanga na suala la ongezeko la wanafunzi wanaoingia kidato cha kwanza mwaka 2019.
Kauli hiyo ya Serikali imetolewa na Tixon Nzunda Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI (ELIMU) wakati akiwa ziarani katika halmashauri za Ikungi na Manyoni mkoani Singida kuwa mikoa na halmashauri zote zihakikishe zinaandaa mazingira wezeshi ili wanafunzi wote waliofaulu kuingia kidato cha kwanza waweze kuanza masomo ifikapo mwezi januari 2019.
Nzunda amesema kuwa sio lazima viongozi wa Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kusubiri mpaka viongozi wa juu kama Mheshimiwa Rais, kuingilia kati na kuagiza suala kama hili la madarasa na madawati
Matokeo ya darasa la saba 2019 necta
PSLE NECTA PAST PAPERS - STD SEVEN PAST PAPERS FOR REVISION
MPANGILIO KWA UBORA WA UFAULU KATIKA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PSLE) 2018
Watahiniwa Kumi (10) Bora Kitaifa - Matokeo la saba 2018/2019
NA. | JINA | SHULE |
1. | NDEMEZO RUTAKWA LUBONANKEBE - MKOA WA GEITA | KADAMA |
2. | INNOCENT PAUL SELELI - MKOA WA MOROGORO | CARMEL |
3. | GIVEN COSMAS MALWANGO - MKOA WA ARUSHA | TUMAINI JUNIOR |
4. | DIOMEDES JAMES MBOGO- MKOA WA KAGERA | ST. ACHLEUS KIWANUKA |
5. | SWEETBERT JOSEPH JOHN - MKOA WA SHINYANGA | MINGAS |
6. | NAJMA MUNA MANJI - MKOA WA MWANZA | NYAMUGE |
7. | BEATRICE BARAKA JEREMIAH - MKOA WA MARA | MAPINDUZI B |
8. | MOHAMED ABDIRAHMAN MOHAMED - MKOA WA TANGA | RASKAZONE |
9. | LUQMAN SULTAL ALLY - MKOA WA TANGA | RASKAZONE |
10. | FRANCISCO ALPHONCE MAIGA - MKOA WA GEITA | KADAMA |
Wavulana Kumi (10) Bora Kitaifa - PSLE Results 2018/2019
NA. | JINA | SHULE |
1. | NDEMEZO RUTAKWA LUBONANKEBE - MKOA WA GEITA | KADAMA |
2. | INNOCENT PAUL SELELI - MKOA WA MOROGORO | CARMEL |
3. | DIOMEDES JAMES MBOGO - MKOA WA KAGERA | ST. ACHLEUS KIWANUKA |
4. | SWEETBERT JOSEPH JOHN - MKOA WA SHINYANGA | MINGAS |
5. | MOHAMED ABDIRAHMAN MOHAMED - MKOA WA TANGA | RASKAZONE |
6. | LUQMAN SULTAL ALLY - MKOA WA TANGA | RASKAZONE |
7. | FRANCISCO ALPHONCE MAIGA - MKOA WA GEITA | KADAMA |
8. | MASOUD SALEHE KITOBOLI - MKOA WA TABORA | ZUGIMLOLE |
9. | AMON HAGAI JARED - MKOA WA DAR ES SALAAM | TUSIME |
10. | ELIAH EXAVERY INONGU -MKOA WA MWANZA | MZIGU |
Wasichana Kumi (10) Bora Kitaifa - Matokeo ya darasa la saba mwaka 2018/2019
NA. | JINA | SHULE |
1. | GIVEN COSMAS MALWANGO - MKOA WA ARUSHA | TUMAINI JUNIOR |
2. | NAJMA MUNA MANJI - MKOA WA MWANZA | NYAMUNGE |
3. | BEATRICE BARAKA JEREMIAH - MKOA WA MARA | MAPINDUZI B |
4. | HAMISA ALLY KASELE -MKOA WA DAR ES SALAAM | TUSIME |
5. | KAREEN CHARLES GABRIEL - MKOA WA DAR ES SALAAM | TUSIME |
6. | ROSE COSMAS SAMSON - MKOA WA MWANZA | NYAMUNGE |
7. | RAHMA JUMA SHAABAN - MKOA WA DAR ES SALAAM | FOUNTAIN GATE |
8. | ASHURA WILLY MEMBA - MKOA WA DAR ES SALAAM | HAVARD |
9. | CAREEN EMANUEL PALLAGYO - MKOA WA DODOMA | MARTIN LUTHER |
10. | MERLYN GODSON MOLLEL- MKOA WA ARUSHA | GREEN ACRES |
Shule Kumi (10) Bora Kitaifa - PSLE NECTA Results 2018/2019
JINA LA SHULE | IDADI | NAFASI |
RASKAZONE -MKOA WA TANGA | 55 | 1 |
NYAMUNGE - MKOA WA MWANZA | 114 | 2 |
TWIBHOKI - MKOA WA MARA | 71 | 3 |
KWEMA MODERN - MKOA WA SHINYANGA | 45 | 4 |
ROCKEN HILL - MKOA WA SHINYANGA | 50 | 5 |
ST. ANNE MARIE - MKOA WA DAR ES SALAAM | 59 | 6 |
JKIBIRA - MKOA WA KAGERA | 70 | 7 |
ST. ACHILEUS KIWANUKA - MKOA WA KAGERA | 76 | 8 |
ST. SEVERINE - MKOA WA KAGERA | 65 | 9 |
RWEIKIZA - MKOA WA KAGERA | 120 | 10 |
Shule Kumi (10) Ambazo Hazikufanya Vizuri
JINA LA SHULE | IDADI | NAFASI |
MANGIKA - MKOA WA TANGA | 62 | 1 |
MWAZIZI - MKOA WA TABORA | 42 | 2 |
ISEBANDA - MKOA WA SIMIYU | 56 | 3 |
MALAGANO - MKOA WA TABORA | 52 | 4 |
MAGANA - MKOA WA MARA | 84 | 5 |
KODODO -MKOA WA MOROGORO | 69 | 6 |
MTINDILI - MKOA WA TANGA | 92 | 7 |
LUMALU - MKOA WA RUVUMA | 41 | 8 |
CHIDETE - MKOA WA DODOMA | 37 | 9 |
MAVULUI - MKOA WA TANGA | 93 | 10 |