HESLB YATOA MWONGOZO NA VIGEZO VYA UTOAJI MIKOPO KWA MWAKA 2017/2018
DO YOU WANT TO APPLY FOR A HIGHER EDUCATION LOAN FOR FOR THE YEAR 2017-2018?
HESLB - THE FOLLOWING ARE THE TEN (10) BASIC/KEY CRITERIA
- Must be a Tanzanian;
- Must be admitted by a fully accredited University and HLI for Degree, HD and Diploma
- Must be a person with no financial assistance from other sources;
- Must have applied for loan through OLAMS;
- Must be a continuing student who has passed exams and is progressing to the next year;
- Must have been admitted as a full-time student;
- Must have completed ACSE, or equivalent qualifications not earlier than 2015/16
- Must be under 30 years of age at the time of application;
- Applicants whose parents are Directors and Senior Managers in private companies recognized by revenue and registration authorities are expected not to apply;
- Applicants whose parents are leaders under Public Leadership Code of Ethics Act (as amended) are not expected to apply.
HESLB - Online Application 2017/2018
HIGHER EDUCATION STUDENTS’ LOANS BOARD
Kusoma mwongozo na vigezo vya utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 bofya hapa>>GUIDELINES AND CRITERIA FOR ISSUANCE OF STUDENTS’ LOANS AND GRANTS FOR THE 2017/2018 ACADEMIC YEAR - New Updates
Kusoma hatua za kufuata kufanya maombi ya mkopo na malipo bofya hapa - New Updates
Issued by
Executive Director HESLB
HESLB - Application for loans must be done not later than September 4th, 2017
HESLB - ZIFUATAZO NI SIFA KUMI (10) ZA MSINGI
- Mwombaji awe Mtanzania.
- Mwombaji awe ameomba kudahiliwa na Chuo Kikuu au Taasisi ya Elimu ya Juu inayotambuliwa na Serikali.
- Asiwe mwanafunzi wa masomo ya jioni (Part time Student).
- Asiwe na udhamini/ufadhili/msaada wa kifedha kutoka katika vyanzo vingine.
- Awe ameomba mkopo kupitia mfumo wa mtandao (OLAMS).
- Awe amefaulu mitihani ya mwisho wa mwaka (wanaoendelea na masomo) na matokeo yake kuwasilishwa Bodi ya Mikopo na chuo chake.
- Awe amemaliza Kidato cha Sita au awe na sifa linganishi (kama Diploman.k) ndani ya miaka mitatu (2015/2016 – 2017/2018).
- Awe na umri usiozidi miaka 30 wakati wa kufanya maombi.
- Waombaji ambao wazazi wao ni Wakurugenzi au Mameneja Waandamizi katika Makampuni binafsi yanayotambuliwa na Mamlaka za Mapato na Usajili hawatarajiwi kuomba;
- Waombaji ambao wazazi wao ni viongozi wa umma au kisiasa ambao wanatajwa na Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma hawatarajiwi kuomba mikopo.