Rita - Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa

RITA Uhakiki wa Vyeti Vya Kuzaliwa

Rita uhakiki vyrti vya kuzaliwa

Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa>>rita tanzania uhakiki 2020

Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) Umeanza uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa na vyeti vya kifo (ikiwa mwombaji amepoteza mzazi mmoja au wote) vya waombaji wanaotarajiwa kiomba mikopo ya masomo inayotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kwa mwaka 2019/2020. Maombi yote yatafanyika kwa njia ya mtandao pekee.
Waombaji wanaohakiki wanatakiwa kufuata maelezo yafuatayo:

  1. Kila muombaji aingie kwa anuani  http://uhakiki.rita.go.tz/uhakiki/ ili kujisajili na kupata akaunti maalumu ambayo atatumia kutuma nakala ya cheti kinachohakikiwa, namba ya uthibitisha wa malipo/risiti (amabayo atatumiwa kwa ujumbe wa simu malipo yanapokamilika) na kupokea nakala ya cheti kilichohakikiwa.
  2. Ada ya uhakiki kwa kila cheti ni Tsh.3,000 (elfu tatu) amabyo italipwa kwa nia mojawapo kati ya zifuatazo:
  • Kupitia Benki au Mawakala wa Benki ya NMB au CRDB kwa kutumia namaba ya kumbukumbu ya malipo (control number) 991380913455
  • Kulipia kwa simu kupitia M Pesa, TigoPesa, TPesa, AirtelMobey au Halopesa kwa namba ya kampuni 001001 na kutumia namba ya kumbukumbu ya malipo (control number 991380913455
Malipo yatakuwa yamekamilika baada ya muombaji kupokea risiti kwa njia ya ujumbe wa simu kutoka namba 15200 kupitia namba aliyotumia kufanya malipo au namba aliyoulizwa na mhudumu wa benki/wakala


NIDA - PATA KITAMBULISHO CHA TAIFA


RITA JINSI KUFANYA MALIPO YA ADA YA UHAKIKI (3000/=) KWA KILA CHETI KUPITIA MPESA

  1. Bofya *150*00#
  2. Bofya 4 Lipa kwa MPesa
  3. Bofya 4 Namba ya kampuni
  4. Andika na ya kampuni (001001)
  5. Andika namba ya kumbukumbu ya palipo (991380913455)
  6. Andika kasi 3000/= 
  7. Tuma 

Uhakiki wa cheti cha kuzaliwa - Rita Uhakiki Portal - Tanzania



MAJINA YA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT 2019


Rita Fomu za Vizazi, Vifo na Ndoa

Rita Fomu za Udhamini.

Rita Fomu ya Wosia.

Rita Usajili wa Watoto Kuasili

Taratibu za kupata Cheti cha Kuasili.
  • Wasilisha nakala ya uamuzi kutoka Mahakama Kuu.

  • Wasilisha cheti cha Kuzaliwa cha Mtoto anayeasiliwa.

  • Lipa ada halisi kwa ajili ya cheti cha kuasili mtoto (ada ya sasa ni Tsh.100,000/).