PATA MATOKEO YA NECTA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2019 - NECTA CSEE EXAM RESULTS 2019 Dar es salaam Tanzania
Matokeo ya kidato cha nne mwaka 2019/2020 yatatangazwa Rasmi na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) na link itapatikana hapa chini kuyaona.
NECTA Matokeo ya kidato cha nne 2019 Necta Miaka yote
matokeo csee 2019 Tanzania - Ratiba ya mtihani wa kidato cha sita 2019/2020
WINNERS ARE MADE, NOT BORN!
NECTA YATANGAZA RASMI MATOKEO YA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2018/2019 - Bofya hapa chini kuyatazama
OTHER IMPORTANT LINKS
FORM FIVE JOINING INSTRUCTIONS 2019/2020
TOP 10 SECONDARY SCHOOLS IN TANZANIA 2018 - Shule bora za sokondari
The best A-level High schools in Tanzania - Top 10 High Schools
NACTE ONLINE GUIDEBOOK 2019/ 2020
KCSE EXAM TIMETABLE 2019
Matokeo Ya Mitihani Kidato Cha Nne 2019/2020 - Matokeo Ya Form Four 2019/2020 - Matokeo kidato cha nne 2019/2020 Yametoka.
MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2018 - QT RESULTS 2018 New Update
Pata Matokeo Yote Ya Mitihani - One Spot For All The Examination Results - New Updates (Kidato cha sita, Kidato cha Nne, Kidato cha Pili, Darasa la saba na Darasa la Nne)
PATA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2018/2019
matokeo ya form four 2019/2020
TANGAZO LA USAJILI WA WATAHINIWA WA KUJITEGEMEA CSEE NA QT 2018
Katibu Mtendaji, Baraza la Mitihani la Tanzania anapenda kuwajulisha watu wote wanaotaka kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Matokeo ya Maarifa (QT) mwezi Novemba, 2018 kama Watahiniwa wa Kujitegemea kwamba;- Kipindi cha usajili kwa watahiniwa wa kujitegemea kimeanza tarehe 1 Januari, 2018 kwa ada ya Shilingi 50,000/= kwa wanaojisajili CSEE na Shilingi 30,000/= kwa wanaojisajili QT na kitaishia tarehe 28 Februari, 2018. Aidha, watakaojisajili kwa kuchelewa kuanzia tarehe 01/03/2018 hadi tarehe 31/03/2018 watalipa Shilingi 65,000/= kwa watahiniwa wa Kidato cha Nne (CSEE) na Shilingi 40,000/= kwa watahiniwa wa mtihani wa Maarifa (QT) ikiwa ni ada ya kawaida pamoja na faini.
- Mtahiniwa atakaye jisajili kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) 2018 ni yule ambaye anarudia Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) au amefanya na kufaulu Mtihani wa Maarifa (QT) katika kipindi kisichozidi miaka mitano (5) iliyopita au mwenye sifa zinazolingana na hizo alizopata kutoka nje ya Nchi na kufanyiwa ulinganifu na Baraza la Mitihani la Tanzania.
- Mtahiniwa atakayejisajili kufanya Mtihani wa Maarifa ni yule ambaye anatafuta sifa ya kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne kama Mtahiniwa wa kujitegemea.
- Kabla ya kujisajili kwenye mtandao, waombaji wanapaswa kwenda kwenye vituo vya mitihani kuchukua namba rejea (reference number) zinazotolewa bure na kufanya malipo ya ada ya mtihani katika ofisi za Posta pekee.
- Waombaji wote wanasisitizwa kuhakikisha wanajisajili mapema kwa njia ya mtandao kupitia tovuti ya Baraza la Mitihani ya www.necta.go.tz - matokeo kidato ya cha nne kwani mfumo wa usajili utafungwa baada ya kipindi cha usajili kumalizika.
Imetolewa na:
KATIBU MTENDAJI
KATIBU MTENDAJI
Sel-Form ya wahitimi wa kidato cha nne 2019 |