MATOKEO DARASA LA NNE 2017 - Yametoka!
MATOKEO DARASA LA NNE 2016/2017 |
Matokeo std iv 2016/2017, STD IV Examination Results 2016/2017 - Updates
matokeo ya darasa la nne mwaka 2016/2017 -SFNA-2016/2017
PATA MATOKEO YA DARASA LA NNE 2017/2018
Pata Matokeo Yote Ya Mitihani - One Spot For All The Examination Results - New Updates (Kidato cha Pili na Darasa la Nne)
Matokeo Ya DARASA la NNE 2017 - SFNA 2017 ASSESSMENT RESULTS - NECTA Darasa la nne 2017 - New Updates!
RATIBA YA DARASA LA NNE 2017 - NECTA - New Updates
Matokeo Ya Darasa la Nne 2016/2017 - SFNA 2016/2017 ASSESSMENT RESULTS - NECTA Tanzania
Matokeo ya Darasa la Nne 2015 - SFNA-2015 ASSESSMENT RESULTS - NECTA
OR
Matokeo ya Darasa la Nne 2015 - SFNA-2015 ASSESSMENT RESULTS - NECTA
Matokeo Darasa la Nne 2014 - SFNA-2014 ASSESSMENT RESULTS - NECTA - updates coming soon
Matokeo Darasa la Nne 2013 - SFNA-2013 ASSESSMENT RESULTS - NECTA - updates coming soon
WE WISH YOU A MERRY XMASS! - DARASA LA NNE 2016
Pata Matokeo ya DARASA la NNE miaka yote:-
Matokeo la nne 2016,
Matokeo la nne 2015.
HOW TO PREPARE PSYCHOLOGICALLY FOR EXAMS
OTHER EXAMINATION RESULTS - NECTA
MATOKEO DARASA LA NNE |
MATOKEO YA MITIHANI DARASA LA NNE - NECTA
MATOKEO YA MITIHANI DARASA LA SABA - NECTA
MATOKEO YA MITIHANI KIDATO CHA PILI - NECTA
MATOKEO YA MITIHANI KIDATO CHA NNE - NECTA
MATOKEO YA MITIHANI KIDATO CHA SITA - NECTA
MATOKEO YA UALIMU NECTA - NECTA
MATOKEO ya DARASA LA NNE 2016/2017 yametoka.
9 TIPS ON HOW TO SUCCEED IN YOUR EXAMS
THE BANNER OF SUCCESS - No one can write on your banner.
HOW TO READ AND STUDY TEXTBOOKS
Pata Matokeo ya DARASA la NNE 2016/2017, Matokeo la NNE 2016/2017 - Coming Soon!
LEARNING AND STUDYING SKILLS
MATOKEO DARASA LA NNE 2016/2017 YANAPATIKANA HAPA!, LA NNE 2016/2017, DARASA LA NNE TANZANIA.
MAKUNDI YA NAMBA
i) NAMBA ZA KUHESABIA
Namba zinazotumika kuhesabu zinazoanza Na. (1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 11…. ) Namba hizi pia huitwa namba asilia.
ii) NAMBA NZIMA
Ni kundi la namba za kuhesabia ambazo huanzia na sifuri (0,1,2,3,4,5,6, 7, 8, 9, 10…..)
Tofauti ya namba nzima na namba za kuhesabia ni kwamba namba nzima huanzia sifuri na namba za kuhesabia huanza na moja.
iii) NAMBA SHUFWA
Ni kundi la namba za kuhesabia ambazo hugawanyika kwa mbili bila baki.
Matokeo ya Darasa la Nne 2017
Matokeo ya Darasa la Nne 2017
Namba hizi huanza na mbili, (2,4,6,8,10,12…..)
iv) NAMBA WITIRI
Ni kundi la namba za kuhesabia ambazo hazigawanyiki kwa mbili bila baki. Namba hizi huanza na moja (1,3,5,7,9,11,13,15 ...)
v) NAMBA TASA
Ni kundi la namba za kuhesabia ambazo hugawanyika kwa moja na kwa yenyewe. Namba hizi zina sifa ya kuwa na vigawo viwili tu. Namba hizi huanza na mbili. (2,3,5,7,11,13,17,19,23…)
Namba mbili (2) ni tasa kwa sifa ya kuwa na vigawo viwili tu na pia ni namba shufwa kwa sifa ya kugawanyika kwa mbili. Namba tasa zote ni namba Witiri isipokuwa namba 2.
(vi) NAMBA MRABA
Ni kundi la namba za kuhesabia ambazo hutokana na kipeo cha pili cha namba yoyote mfano
12=1, 22=4, 32 =9, 42=16, 52=25
Hivyo namba (1, 4, 9, 16, 25,….n2) ni namba mraba.
vii) NAMBA KAMILI
Ni kundi la namba za kuhesabia zenye alama hasi (-) na chanya (+)
Mfano. (…..-3, -2, -1, 0, +1, +2, +3, +4….)
Namba zenye alama ya kutoa (-) mwanzoni ni hasi Mf. (-3, -2, -1, ..)
Namba zenye alama ya kujumlisha (+) mwanzoni ni chanya. Mf. (+1, +2, +3, …).
Namba zote zisizo na alama ya toa (-) mwanzo ni namba chanya hata kama hazina alama ya kujumlisha mwanzoni Mf. (1,2,3,4…