Matokeo Ya Kidato Cha Pili Zanzibar

Matokeo ya Kidato cha Pili 2020  - Zanzibar

BARAZA LA MITIHANI LA ZANZIBAR - ZANZIBAR EXAMINATIONS COUNCIL (Zanzibar Exam News 2020 Updates)


Matokeo Ya Kidato Cha Pili  2019/2020  Zanzibar - form two results 2019/2020 zanzibar
Matokeo ya kidato cha pili 2020  - 2021 Zanzibar

matokeo ya kidato cha pili zanzibar 2020/2021

FORM TWO NATIONAL EXAMINATIONS RESULT 2020 ZANZIBAR

TAARIFA YA MATOKEO YA MITIHANI YA TAIFA YA MWAKA 2020

  • Taarifa ya matokeo ya darasa la nne 2020

  • Taarifa ya matokeo ya darasa la nne 2020

  • Taarifa ya matokeo ya darasa la nne 2020

  • Taarifa pia inajumuisha watahiniwa 10 bora kitaifa na shule 10 bora kitaifa

ISOME HAPA >>TAARIFA YA MATOKEO YA MITIHANI YA TAIFA YA MWAKA 2020


Matokeo ya Kidato cha Pili  2018/2019 - Zanzibar


Matokeo ya Kidato cha Pili (Kutoka STD6) Mwaka 2017


Matokeo ya Kidato cha Pili (Kutoka STD7) Mwaka 2017


Zanzibar Matokeo Mwaka 2019/2020

KIDATO CHA PILI 2019

Uandikishwaji wa watahiniwa wa Kidato cha Pili ulifanyika katika Skuli 277 kati ya skuli hizo, Skuli 213 ni za Serikali na 64 ni za Skuli Binafsi. Kuna ongezeko la Skuli 14 sawa na asilimia 05 ikilinganishwa na Skuli 272 za Kidato cha Pili za mwaka 2018.
Jumla ya watahiniwa 34,473 walioandikishwa kufanya mtihani huo kati yao wanawake ni 18,502 sawa na asilimia 53.7 na wanaume ni 15,971 sawa na asilimia 46.3. Idadi hii ni pungufu kwa watahiniwa 668 sawa na asilimia 4.2 ikilinganishwa na watahiniwa 34,846 walioandikishwa mwaka 2018.

MATOKEO 2019

Jumla ya watahiniwa 24,946 sawa na asilimia 76.8 kati ya 32,476 waliofanya mtihani huu wamefaulu kwa madaraja ya A, B+,B, C na D na watahiniwa 5,600 sawa na asilimia 17.2 hawakufaulu.
Ufaulu huu umepanda kwa asilimia 3.5 ikilinganishwa na ufaulu wa asilimia 73.3 wa mwaka 2018, ambapo idadi ya watahiniwa waliopata daraja A, B+,B na C umeongezeka ikilinganishwa na mwaka 2018. 

WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI ZAIDI KITAIFA 2019

Matokeo yanaonesha kuwa wanafunzi waliofanya vizuri zaidi Kitaifa kwa madarasa yote ya mitihani ni:- 
  • Zainab Hussein Kurwa kutoka Skuli ya Upendo (Darasa la Nne). 
  • Ummu-Kulthum Juma Ali Skuli ya Miti Ulaya (Darasa la Sita).
  • Amina Hassan Khatib kutoka Skuli ya Lumumba (Kidato cha Pili).

SKULI ZILIZOFANYA VIZURI ZAIDI 2019

Skuli zilizofanya vizuri zaidi Kitaifa kwa Darasa la Nne ni Skuli ya Great vision na Upendo nursury & primary school.
Skuli zilizofanya vizuri zaidi Kitaifa kwa Darasa la Sita ni Skuli ya Feza na Evergreen.
Skuli zilizofanya vizuri zaidi Kitaifa kwa Kidato cha Pili ni Skuli ya
Lumumba na Utaani B.

UFAULU WA KIWILAYA  2019

Kwa Mtihani wa Darasa la Nne, Wilaya ya Magharibi “B’’ inaongoza katika ufaulu wa ujumla kwa kupata asilimia 90.5 ikifuatiwa na Wilaya ya Mjini yenye ufaulu wa asilimia 89.9. Aidha, Wilaya ya Mkoani ni ya mwisho kwa kupata asilimia 67.3.
Kwa Darasa la Sita, Wilaya zote zimefanya vizuri na ufaulu wao umepanda ambapo Wilaya ya Micheweni inaongoza kwa Skuli za Serikali kwa kufanya vizuri zaidi kwa kupata asilimia 98.9 ambapo Wilaya ya Kati ni ya mwisho yenye asilimia 94.8. 
Kwa upande wa Mtihani wa Kidato cha Pili, Wilaya zote zimefanya vizuri ambapo Wilaya ya Micheweni inaongoza kwa kupata asilimia 83.4 na Wilaya ya Kaskazini ‘B’, Wilaya ya Kati na Wilaya ya Kusini   zinaonekana kuwa ni za mwisho kwa kupata asilimia 62.2, 62.4 na 63.1.

MATOKEO MENGINE

Matokeo ya Darasa la Sita Mwaka 2019/2020


Malengo ya Elimu Zanzibar
  • Kukuza na kuendeleza maadili ya utamaduni, itikadi, desturi za Watanzania ili kuimarisha umoja na utambulisho wa kitaifa.
  • Kukuza upatikanaji na matumizi sahihi ya ujuzi na maarifa kwa ajili ya maendeleo endelevu ya jamii.
  • Kuwawezesha raia wote kuelewa na kuheshimu misingi ya katiba,wajibu na haki za binaadamu.
  • Kukuza uelewa wa matumizi sahihi, usimamizi na uhifadhi wa mazingira.
  • Kuongeza upendo, heshima na nidhamu katika kazi, ili kuongeza ufanisi
  • Kuhamasisha ufuataji wa kanuni, kuendeleza amani na uvumilivu, upendo, haki, uelewa wa haki na wajibu wa binadamu, umoja wa kitaifa, ushirikiano wa kimataifa kama unavyoelezwa katika mikataba ya msingi ya kimataifa.

HOW TO MAKE MONEY ONLINE BY JUST CLICKING

Matokeo ya kidato cha pili 2020 Zanzibar