Matokeo ya Darasa La Nne Zanzibar

Matokeo ya Darasa la Nne Mwaka 2020 Zanzibar

BARAZA LA MITIHANI LA ZANZIBAR - ZANZIBAR EXAMINATIONS COUNCIL

Matokeo ya Darasa La Nne 2020/2021 - Zanzibar

MTIHANI WA TAIFA DARASA LA SABA (NECTA) MASWALI NA MAJIBU


STANDARD FOUR NATIONAL EXAMINATIONS RESULT 2020

TAARIFA YA MATOKEO YA MITIHANI YA TAIFA YA MWAKA 2020

  • Taarifa ya matokeo ya darasa la nne 2020

  • Taarifa ya matokeo ya darasa la nne 2020

  • Taarifa ya matokeo ya darasa la nne 2020

  • Taarifa pia inajumuisha watahiniwa 10 bora kitaifa na shule 10 bora kitaifa

ISOME HAPA >>TAARIFA YA MATOKEO YA MITIHANI YA TAIFA YA MWAKA 2020



 Matokeo ya Darasa la Nne Mwaka 2018/2019 - Zanzibar


 Matokeo ya Darasa la Nne Mwaka 2017


OTHER EXAMINATION RESULTS

DARASA LA NNE 2019

Jumla ya watahiniwa 55,631 waliandikishwa kufanya mtihani huo katika Skuli 432 kati ya hizo 283 ni za Serikali na 149 ni za Binafsi, kati yawanafunzi walioandikishwa Wanawake   ni 27,379 sawa na asilimia 49.2 na Wanaume ni 28,252 sawa na asilimia 50.8. Idadi hii imeongezeka kwa watahiniwa 7,652 sawa na asilimia 15.9 ikilinganishwa na watahiniwa 47,979 walioandikishwa kwa mwaka 2018.
Watahiniwa 52,307 sawa na asilimia 94.0 walifanya mtihani huo ambapo  wanawake ni 26,429 sawa na asilimia 50.5 na wanaume ni 25,875 sawa na asilimia 49.5. Aidha, jumla ya watahiniwa 3,324 sawa na asilimia 6.0 hawakufanya mtihani huo kutokana na utoro na ugonjwa.

MATOKEO 2019

Matokeo yanaonesha kuwa jumla ya watahiniwa 42,110 sawa na asilimia 80.5 wataendelea na masomo ya Darasa la Tano mwaka 2020 wakiwemo wanawake 22,773 sawa na asilimia 43.5 na wanaume 19,337 sawa na asilimia 37.0.
Ufaulu huu umepanda kwa asilimia 10.1 ikilinganishwa na ufaulu wa asilimia 70.4 wa mwaka 2018. Aidha, matokeo yanaonesha kuwa ufaulu katika daraja A, B, na C umepanda kwa kuwa na asilimia 40.0 ikilinganishwa na asilimia 26.0 ya mwaka 2018.

Malengo ya Elimu Zanzibar

  • Kukuza na kuendeleza maadili ya utamaduni, itikadi, desturi za Watanzania ili kuimarisha umoja na utambulisho wa kitaifa.
  • Kukuza upatikanaji na matumizi sahihi ya ujuzi na maarifa kwa ajili ya maendeleo endelevu ya jamii.
  • Kuwawezesha raia wote kuelewa na kuheshimu misingi ya katiba,wajibu na haki za binaadamu.
  • Kukuza uelewa wa matumizi sahihi, usimamizi na uhifadhi wa mazingira.
  • Kuongeza upendo, heshima na nidhamu katika kazi, ili kuongeza ufanisi
  • Kuhamasisha ufuataji wa kanuni, kuendeleza amani na uvumilivu, upendo, haki, uelewa wa haki na wajibu wa binadamu, umoja wa kitaifa, ushirikiano wa kimataifa kama unavyoelezwa katika mikataba ya msingi ya kimataifa.