TCU SECOND SELECTION 2016/2017 - TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU) - Maombi kwa awamu ya pili 2016/2017

TCU - TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITIES
TCU - TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITIES

TCU SECOND SELECTION 2016/2017

TCU SELECTION AWAMU YA PILI 2016/2017 

 

TAARIFA KWA UMMA 


THE MAGIC  POWER OF A SMILE!

 

RIGHT-BRAIN VERSUS LEFT-BRAIN



TCU FIRST ROUND OF SELECTION 2016/2017 HAS BEEN COMPLETED 



Tunapenda kuutangazia Umma kuwa tulifunga mfumo wa pamoja wa udahili tarehe 31/08/2016 saa sita usiku ili kuchakata maombi ya waombaji waliofanikiwa kuomba udahili kwa mwaka wa masomo 2016/2017.

Hata hivyo kutokana na wengine kushindwa kufanikiwa kutokana na sababu mbali mbali, Tume inatangaza kuwa itafungua maombi kwa awamu ya pili kuanzia tarehe 12 hadi 23 Septemba 2016 ili kuruhusu makundi yafuatayo kuomba udahili.
  • Waombaji watakaokuwa wamekosa nafasi kwenye awamu ya kwanza
  • Waombaji wa kidato cha Sita walioshindwa kuomba katika awamu ya kwanza
  • Waombaji wenye vigezo vya Stashahada ambao walishindwa kuomba kutokana na matokeo yao kuchelewa kufika NACTE kwa wakati,  
  • Waombaji ambao wamemaliza mitihani ya “Cambridge” mwaka 2016 na matokeo yao yameshatoka,
  • Waombaji waliofaulu mitihani ya RPL,
  • Waliokuwa wanafunzi wa vyuo vikuu watakao kuwa na uthibitisho toka vyuo
vyao vya awali.
Baada ya hapo Tume haitaruhusu tena maombi ili kuruhusu taratibu zingine za kiudahili kuendelea kwa ngazi ya Bodi ya Mikopo na vyuoni.
Asanteni

Imetolewa na
Prof. Eleuther Mwageni  Kaimu Katibu Mtendaji Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania
02 Septemba 2016



TO APPLY ONLINE  >>>>> Central Admission System (CAS)

TCU SELECTION YA PILI 2016


PUBLIC NOTICE 


The Tanzania Commission for Universities (TCU) wishes to inform the general public and particularly applicants who would wish to apply into higher education institutions with RPL qualifications that the names of candidates who passed their RPL examinations are hereby attached below. These applicants are eligible to apply through the Central Admission System (CAS) during the second round of applications into their relevant fields of study.


To view the list please click here... 

For further information or clarification please contact the Tanzania Commission for Universities through the following numbers;  
Landline: +255 (0) 22 2772657  Hotlines : +255 (0) 683 921 928 
                  +255 (0) 675 077 673


Issued by 
The Executive Secretary 
Tanzania Commission for Universities
P. O. Box 6562 Dar es Salaam.



TO APPLY ONLINE  >>>>> Central Admission System (CAS)



TCU SELECTED STUDENTS 2016/2017  - Coming soon!