FORM FIVE SELECTION 2017/2018 - Waliobadilishwa shule kwa sababu maalum 2017

TAMISEMI - FORM FIVE SELECTION 2017/2018



TAMISEMI - MABADILIKO YA SHULE KWA WANAFUNZI WA TAHASUSI YA PCB WALIOCHAGULIWA KWENDA MADIBIRA SEKONDARI NA WALIOPANGWA UPYA MADIBIRA SEKONDARI TAHASUSI YA CBG


Ofisi ya Rais – TAMISEMI imefanya mabadiliko ya kuwapangia shule wanafunzi 56 waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano katika Shule ya Sekondari Madibira Tahasusi ya PCB na kuwapeleka katika shule zingine zenye tahasusi (Combination) hiyo ndani ya Mkoa wa Mbeya na Mikoa ya  jirani. Mabadiliko haya ni kwa sababu maalum. Majina na shule mpya walizopangiwa wanafunzi hao inapatikana kwenye tovuti ya www.tamisemi.go.tz
Aidha, wanafunzi wapya 56 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha Tano katika shule ya Sekondari Madibira Tahasusi ya CBG kama inavyoonekana kwenye tovuti tajwa.
Wanafunzi hawa wanapaswa kuripoti katika shule walizopangiwa tarehe
17 Julai, 2017.

IMETOLEWA NA:
KATIBU MKUU
OFISI YA RAIS -TAMISEMI.

TAMISEMI - Waliobadilishwa shule kwa sababu maalum 2017


TAMISEMI - Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha 5 Madibira Sekondari 2017

 

OTHER IMPORTANT LINKS

NACTE SELECTION FOR ACADEMIC YEAR 2017/2018 - New Updates 

 

TCU - Change of Procedure for Admissions to Undergraduate Programmes for 2017/2018 Academic Year - New Updates

 

NACTE Online Application 2017/2018 - Minimum Entry Requirements for Admission and Application Procedure - New Updates

 

PAST PAPERS FOR RIVISION / Form two past papers, Form four past paper, Form six past papers (Rivision Made Simple)

 

Message of hope to young people - Once you begin that walk, others will find you and walk with you..