Form Five Selection 2017/2018 - PUBLIC NOTICE
NACTE SELECTION FOR ACADEMIC YEAR 2017/2018 - New Updates
Smartphone Photography basics
In many schools and colleges, people have this idea that successful students are intelligent, and students who struggle are not. This idea is wrong. There’s a lot more to school success than being intelligent.
Take math homework, for example. Maybe you’re a math genius, even the greatest genius of all time. That’s great, but if you don’t do the assignment, you’ll get a zero. And doing it requires much more than knowing math. You have to plan ahead and make time. You have to turn off your screens, get to work, stay focused, not space out, work at the right speed, and more.
It takes certain skills to do these things. We call them “attention skills.” Others call them “executive functions,” “self-directing,” or “self-regulation.” It doesn’t really matter what you call them. What matters is that you use them.
Plenty of evidence shows that attention skills have more influence on school success and life success than intelligence does. That means that if you want to do well in school and beyond (and who doesn’t?), controlling your attention is essential.
Even more evidence shows that not controlling attention is the number one cause of poor school performance. So if you’re doing poorly in school, or if you’re just not doing as well as you’d like, it doesn’t mean you’re not smart. Much more likely is that you’re not applying attention well.
PUBLIC NOTICE- To all the students who have been selected to join various tertiary schools and the general public
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UCHAGUZI NA UPANGAJI WA WANAFUNZI WA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI KWA MWAKA 2017 |
1.0 UTANGULIZI |
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekamilisha zoezi la uchaguzi na upangaji wa wanafunzi wa kujiunga na masomo ya Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi vya Serikali kwa mwaka 2017 ambao walihitimu Kidato cha Nne mwaka 2016. |
2.0 MATOKEO YA UFAULU KWA UJUMLA |
Jumla ya watahiniwa wa shule 349,524 wakiwemo wasichana 178,775 sawa na
asilimia 51.1 na wavulana 170,749 sawa na asilimia 48.9 walifanya
mtihani wa kumaliza Kidato cha Nne mwaka 2016. Watahiniwa wa
kujitegemea waliofanya mtihani huo mwaka 2016 walikuwa 47,751 wakiwemo
wasichana 24,587 sawa na asilimia 51.5 na wavulana 23,164 sawa na
asilimia 48.5. Watahiniwa waliofaulu kuanzia daraja la kwanza hadi la tatu ni 96,018 sawa na asilimia 27.60 ya watahiniwa waliofanya mtihani Tanzania Bara. Hivyo ufaulu katika mwaka 2016 uliongezeka kwa asilimia 3.15 ikilinganishwa na ufaulu wa mwaka 2015. |
3.0 TARATIBU ZA UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI KWA MWAKA 2017 |
Kwa
mujibu wa mwongozo wa uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na Kidato cha
Tano, mwanafunzi anayeomba kuchaguliwa kuendelea na Elimu ya Sekondari
ya Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi hulazimika kujaza fomu ya
uchaguzi Selform ambayo ndiyo fomu rasmi ya maombi ya kuchaguliwa.
Kwa kutumia fomu hiyo, mwanafunzi hujaza machaguo matano ya tahasusi
(Combinations) za masomo anayotaka kusoma na Shule anayoipenda kujiunga
nayo kwa kila chaguo. Kwa kuzingatia utaratibu huo, Mfumo wa kieletroniki wa Uchaguzi hutumika kumpanga mwanafunzi katika machaguo yake ya masomo na Shule kwa kuanzia na chaguo la kwanza hadi la tano kulingana na kiwango cha ufaulu wa mwanafunzi. Mfumo humpangia mwanafunzi chaguo la tahasusi aliyofaulu zaidi kuliko machaguo mengine. Kwa mwaka huu 2017 Uchaguzi na upangaji wa wanafunzi wa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi umezingatia mwongozo wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wa tarehe 15 Mei, 2017. Mwongozo huu unaelekeza kwamba, kigezo cha mwanafunzi kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi ni; i) AAA hadi CCD kama cut off point kwenye masomo ya tahasusi ii) Credit 3 na pointi zisizopungua 25 kwenye Daraja, iii) Machaguo yaliyojazwa na mwanafunzi kwenye selform. iv) Nafasi zilizopo katika Shule husika Napenda kusisitiza kwamba, vigezo hivi ndivyo vinavyotumika kwa mwanafunzi kujiunga Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka huu. Nia ni kuinua kiwango cha Elimu na Ujuzi kwa Elimu ya Juu Nchini. |
4.0 WANAFUNZI WENYE SIFA ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO MWAKA 2017 |
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha Tano mwaka 2017 wanatoka kwenye Shule za Serikali na zisizo za Serikali ambapo Shule 351 zikiwemo shule 17 mpya zimepangiwa wanafunzi.Kati ya wanafunzi 96,018 ni wanafunzi 93,019 ndio wenye sifa za kuchaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa kuwa wamefaulu vigezo vyote vya msingi kama nilivyoainisha hapo juu. Kati ya hao, Wanafunzi 92,998 ni wa Shule (School Candidates) na Wanafunzi 21 walisoma chini ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima. |
5.0 TAREHE YA KURIPOTI WANAFUNZI KATIKA SHULE WALIZOPANGIWA |
Muhula
wa kwanza kwa wanafunzi wa Kidato cha Tano kwa mwaka 2017, utaanza
tarehe 17 Julai 2017 lakini kwa wanafunzi wanaongia Kidato cha Sita
watafungua Shule tarehe 3/7/2017 kama ilivyokuwa imepangwa. Kwa
kuwa upangaji wa wanafunzi wanaoingia Kidato cha Tano kwa mwaka 2017
umezingatia machaguo ya wanafunzi wenyewe na nafasi zilizopo katika
Shule husika, hakutakuwa na fursa ya kufanya mabadiliko yoyote ya Shule. Nitumie nafasi hii, kuwaagiza wanafunzi wote kuripoti katika Shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti kwa zaidi ya siku 14 kuanzia tarehe ya kufungua Shule , nafasi yake itachukuliwa na wanafunzi wengine. |
6.0 PONGEZI NA SHUKRANI |
Napenda
kuwapongeza walimu wote kwa juhudi walizozifanya katika ufundishaji na
kuwezesha wanafunzi kufaulu vizuri. Hii imetokana na ushirikiano wa
walimu, wazazi na walezi katika kuwapatia wanafunzi hao malezi bora. Aidha, napenda kuwapongeza wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi, niwahimize kuendelea kuongeza bidii katika kujifunza ili waweze kufanikiwa kujiunga na mafunzo ya Elimu ya Juu baada ya kuhitimu Kidato cha Sita. Nawashukuru sana Wadau wote wa Elimu kwa maana ya Viongozi na watendaji wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri pamoja na wananchi kwa ujumla kwa kushiriki kikamilifu kuimarisha Miundombinu ya Shule ikiwemo maabara na majengo mengine muhimu yaliyowezesha Shule kupokea wanafunzi wa Kidato cha Tano kwa mara ya kwanza. Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2017 inapatikana kwenye tovuti ya OR-TAMISEMI ya: www.tamisemi.go.tz & www.moe.go.tz
George B. Simbachawene (Mb)
WAZIRI WA NCHI, OR -TAMISEMI.
|
In other words, the Universe will provide what we hold in our minds. It doesn’t make a distinction between destructive thoughts and constructive thoughts. If we hold thoughts of poverty in our mind, the universe will return poverty to us. If we hold thoughts of wealth in our mind, the universe will return wealth to us.