Form Five Second Selection 2017/2018 - Selection Awamu Ya Pili Kidato Cha Tano

Form Five Second Selection 2017/2018 - Selection Awamu Ya Pili Kidato Cha Tano 2019/2020 - Tamisemi

Selection Ya Pili Kidato Cha Tano 2017

Form Five Second Selection 2017/2018
Form Five Second Selection 2017/2018

SECOND SELECTION FORM FIVE 2019/2020

Matokeo kidato cha tano uchaguzi wa pili 2017

 

FORM FIVE THIRD SELECTION 2017/2018

 

Exam Day Preparation - what to do on the day of exams.

TAARIFA KWA UMMA
Ofisi ya Rais – TAMISEMI inapenda kuwajulisha wananchi juu Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano kwa Awamu ya Pili kwa mwaka 2017. Wanafunzi hawa wataanza muhula wa kwanza wa masomo tarehe 24 Agosti, 2017 na hakutakuwa na mabadiliko yoyote ya shule. Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati.  Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti hadi tarehe 08 Septemba 2017 ambayo ndiyo siku ya mwisho ya kuripoti, atakuwa amepoteza nafasi.
Mwanafunzi mara uonapo jina lako kwenye tovuti ya Ofisi ya Rais -TAMISEMI kwamba umechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano, inabidi ku-download fomu ya kujiunga na shule husika (joining instructions).

Imetolewa na  Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –TAMISEMI
23 Agosti, 2017

1. FROM FIVE THIRD SELECTION 2017 - ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZIWALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO AWAMU YA TATU (THIRDSELECTION) KWA MWAKA 2017 - New Updates

 

2. DOWNLOAD MAJINA YOTE HAPA SELECTION FORM FIVE SECOND SELECTION2017/2018 - (Awamu ya Pili Na Shule Walizopangiwa) 

 

3. FORM FIVE JOINING INSTRUCTIONS 2017/2018 - New Updates Hot

 

4. ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGIWA KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI 2017 PDF


5. DOWNLOAD MAJINA YOTE HAPA SELECTION FORM FIVE 2017/2018 - (Awamu ya kwanza) New Updates



6. DOWNLOAD MAJINA YOTE HAPA FORM FIVE SECOND SELECTION 2017/2018 - (Awamu ya pili) New Updates

 

7. FORM FIVE SELECTION 2017/2018 - JOINING INSTRUCTIONS - New Updates



8. DOWNLOAD MAJINA YOTE HAPA SELECTION FORM FIVE 2016/2017

 

9. FORM FIVE SELECTION 2016/2017 - JOINING INSTRUCTIONS

 

10. DOWNLOAD MAJINA YOTE HAPA SELECTION FORM FIVE 2015/2016

 

11. NYONGEZA AJIRA YA WALIMU AWAMU YA PILI 2017 - TAMISEMI

 

  OTHER IMPORTANT LINKS

NACTE SELECTION FOR ACADEMIC YEAR 2017/2018 - New Updates 

 

TCU - Change of Procedure for Admissions to Undergraduate Programmes for 2017/2018 Academic Year - New Updates

 

PAST PAPERS FOR RIVISION / Form two past papers, Form four past paper, Form six past papers (Rivision Made Simple)

 

Message of hope to young people - Once you begin that walk, others will find you and walk with you...

TAMISEMI Form Five Selection 2017/2018

TARATIBU ZA UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI KWA MWAKA 2017
Kwa mujibu wa mwongozo wa uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na Kidato cha Tano, mwanafunzi anayeomba kuchaguliwa kuendelea na Elimu ya Sekondari ya Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi hulazimika kujaza fomu ya uchaguzi  Selform  ambayo ndiyo fomu rasmi ya maombi ya kuchaguliwa. Kwa kutumia fomu hiyo, mwanafunzi hujaza machaguo  matano ya tahasusi (Combinations) za masomo anayotaka kusoma na Shule anayoipenda kujiunga nayo kwa kila chaguo.
Kwa kuzingatia utaratibu huo, Mfumo wa kieletroniki wa Uchaguzi hutumika kumpanga mwanafunzi katika machaguo yake ya  masomo na Shule kwa kuanzia na chaguo la kwanza hadi la tano kulingana na kiwango cha ufaulu wa mwanafunzi. Mfumo humpangia mwanafunzi chaguo la tahasusi aliyofaulu zaidi kuliko machaguo mengine.
Kwa mwaka huu 2017 Uchaguzi na upangaji wa wanafunzi wa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi umezingatia mwongozo wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia  wa tarehe 15 Mei, 2017. Mwongozo huu unaelekeza kwamba, kigezo cha mwanafunzi kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi ni;
i)  AAA hadi CCD kama cut off point kwenye masomo ya tahasusi
ii)  Credit 3 na pointi zisizopungua 25 kwenye Daraja,
iii)  Machaguo yaliyojazwa na mwanafunzi kwenye selform.
iv) Nafasi zilizopo katika Shule husika