NECTA Namba za huduma kwa wateja - necta namba za mawasiliano

 NECTA Huduma kwa wateja


Namba za mawasiliano necta - necta simu

Baraza Ia Mitihani la Tanzania (NECTA) Iinawajulisha watu wote kuwa, Katika kutekeleza maelekezo ya Serikali kuhusu kupunguza msongamano wa watu ili kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona, huduma kwa wateja zinatolewa kwa njia ya simu na baruapepe. Hivyo Wateja wote wanashauriwa kuwasilisha hoja zao kwa kupiga simu kwenye namba za simu zilizoorodheshwa kwenye jedwali lifuatalo iii wapatiwe huduma stahiki;



Huduma Namba ya Simu
Hati ya uthibitisho wa matokeo (Statement of Results) 0787-624-7620625-520-943
Ulinganifu wa matokeo (Equivalence of certificate) 0687-335-3780764-264-161
Uthibitisho wa cheti (Certification) 0787-624-7620625-520-943
Cheti mbadala (Duplicate Certificate) 0655-955-924/084-356-5610737-690-870
Vyeti vilivyorudishwa toka posta 0689-168-7860738-845-431
Marekebisho ya majina0738-845-4310683-305-885/0676-710-009
Uhakiki wa vyeti0737-690-8700679-105-610
Usajili wa watahiniwa wa shule za msingi0784-612-2010758-718-776
Usajili wa watahiniwa wa shule za sekondari0684-319-9600759-333-211
Usajili wa watahiniwa wa kujitegemea0754-063-1270714-929-079
Usajili wa watahiniwa wa Ualimu na Mitihani ya Nje0784-612-2010758-718-776
Malipo ya ada ya Mtihani0785-333-2030713-028-368
Huduma ya vyeti PSLE, CSEE, ACSEE na Ualimu0757-267-8740787-325-701
Huduma nyinginezo0786-162-7870762-576-835
Malalamiko yoyote kama yapo0735-540-7290738-971-989

Kuwasilisha hoja kwa njia ya baruapepe tumia:- pshea@necta.go.tz au esnecta@necta.go.tz

Source: necta

OTHER IMPORTANT LINKS