NACTE Online Application 2019/2020

NACTE Online Application 2019/2020 (NACTE Certificate and Diploma Courses for academic year 2019-2020)



The NACTE System allows you to apply for Admission into Certificate and Diploma programmes for academic year 2019/2020.

nacte online application

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAOMBI YA UDAHILI KWA WAOMBAJI WA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2019/2020


Baraza la NACTE linapenda kuufahamisha umma kuwa Udahili wa wanafunzi katika ngazi ya Astashahada na Stashahada kwa kozi/programu zote isipokuwa Ualimu urnefunguliwa rasmi kuanzia tarehe 28 Mei, 2019 na utaendelea hadi Tarehe 2 Septemba, 2019 kwa Vyuo vyote Vinavyotoa mafunzo katika ngazi hizo.

Kwa waombaji wa programu za Afya katika Vyuo vya Serikali watatakiwa ama kuomba moja kwa moja kupitia vyuoni ambako vyuo Vitawasajili kupitia ’Institutional Panel’ ya Chuo husika au wanaweza kuomba kupitia tovuti ya Baraza la Taifa 1a Elimu ya Ufundi (NACTE) (www.nacte.go.tz) kwa kubofya kwenye ’Apply online (SAVS)’ kisha kufuata maelekezo.

Kwa waombaji wa programu za Afya kwenye Vyuo visivyo vya Serikali na waombaji wa programu nyigine zote watatakiwa kuomba moja kwa moja kwenye vyuo husika. Hivyo vyuo Vitapokea maombi na kufanya uchaguzi wa wanafunzi wenye sifa na kisha kuwasilisha NACTE majina ya waliochaguliwa kwa ajili ya uhakiki kabla ya kuyatangaza. Vyuo Vinaelekezwa kuzingatia utaratibu wa udahili kama ulivyotolewa na Baraza katika masomo 2017/18.

Hivyo wahitimu wote wa Elimu ya Sekondari na Vyuo wenye sifa za kujiunga na kozi za Astashahada na Stashahada, wanashauriwa kufanya maombi kwa umakini ili kuweza kupata nafasi ya kujiunga programu wanazozipenda na ambazo wanatimiza Vigezo/sifa za kujiunga nazo kwa mwaka 2019/2 020.

Aidha, Baraza linataarifu umma na vyuo kwamba udahili wa wanafunzi katika programu ya Hudumu ya Afya Ngazi ya lamii (Community Health) umesitishwa hadi hapo itakapo tangazwa tena.

Pia baraza linawashauri waombaji na wazazi kuhakikisha kuwa wanaomba kwenye Vyuo Vinavyokidhi ubora ambavyo Vimeorodheshwa kwenye Kitabu cha Mwongozo wa Udahili kwa mwaka wa masomo 2019/2020 (Admission Guidebook for 2019/2020 Academic Year).


NACTE Currently Available Application Categories:-

Health and Allied Sciences :- Deadline 02/09/2019

IMPORTANT NOTES:
You are advised to select your most preferred Programme according to your qualifications.

To proceed with application for Admission make sure you have:

1. Valid and Working Email Address
2. Valid Mobile Phone Number
3. Payment Receipt Number


Read Admission Guidebook:

To know the requirement(s) for programme(s) you wish to apply, it is highly recommended to carefully read the NACTE Admission Guidebook. Click here to View/download Admission Guidebook.


APPLICATION FEE (Non refundable):

Application fee for this academic year are as in following categories:-
  • For Certificate/Diploma And Higher Diploma in Health and Allied Sciences :- TShs 10,000/= Per Institution
  • Which shall be paid through Mobile Money or Bank etc. using the following menu:
Note: Payment Instructions: Please follow the steps below to pay through Mobile Money:

Payment Instructions Using Vodacom Mpesa: 

1. Dial *150*00#
2. Select 4. Payments
3. Select 5. Government Payment
4. Select 1. Control Number
5. Enter the Control number (991120000032)
6. Enter Amount (e.g 10,000/=)
7. Enter PIN
8. Press 1 to Confirm:

Malekezo ya Jinsi ya kulipia kwa Vodacom Mpesa:

1. Piga *150*00#
2. Chagua 4. LIPA kwa M-Pesa
3. Chagua 5. Malipo ya Serikali
4. Chagua 1. Number ya Malipo
5. Ingiza 991120000032
6. Ingiza kiasi (e.g.10,000/=)
7. Ingiza namba ya siri.
8. Bonyeza 1 kuthibitisha:

Baada ya kutuma utapokeo ujumbe kutoka katika mfumo wa malipo ya Serikali (Mfano "Malipo yamepokelewa kwenda National Council for Technical Education Ankara Na: 991120000032 Kiasi: 10000 TZS Risiti Na: 99005046302 Tarehe: 2018-08-09T19:41:47 Kupitia:EC100222214695IP.").
  • Tumia Risiti Namba uliyotumiwa kuingiza kwenye kiboxi cha uthibitisho wa malipo (99005046302)

Payment Instructions Using tigo Pesa:    

1. Dial *150*01#
2. Select 4. Pay Bills
3. Select 5. Government Payment
4 Please Enter Control number (991120000032)
5. Enter Amount (e.g 10,000/=)
6. Enter PIN to Confirm

Malekezo ya Jinsi ya kulipia kwa tigo Pesa:

1. Piga *150*01#
2. Chagua 4. Lipa Bill
3. Chagua 5. Malipo ya Serikali
4. Tafadhali ingiza namba ya malipo (991120000032)
5. Ingiza kiasi (e.g 10,000/=)
6. Ingiza namba ya siri

Baada ya kutuma utapokeo ujumbe kutoka katika mfumo wa malipo ya Serikali (Mfano "Malipo yamepokelewa kwenda National Council for Technical Education Ankara Na: 991120000032 Kiasi: 10000 TZS Risiti Na: 99005046302 Tarehe: 2018-08-09T19:41:47 Kupitia:EC100222214695IP.").
  • Tumia Risiti Namba uliyotumiwa kuingiza kwenye kiboxi cha uthibitisho wa malipo (99005046302)
NB: All applicants are advised to keep in safe place their Payment confirmation receipt number for future reference. Applicants are advised to read carefully the admission requirements of each programme they anticipate to apply in the guidebook before initializing the application process in order to avoid problems that may arise due to failure to follow appropriate instructions.


NACTE REGISTRATION:

To apply for mentioned category you must be registered to NOAVS. Follow the below link to proceed.


NACTE NOAVAS Registration>>If this is your first time click here to start your application.


NACTE NOAVAS Log In >> If you are already registered please click here



TCU - The University Institutions Admissions Almanac for 2019/2020 Admission Cycle