Matokeo ya Darasa la Nne 2017/2018 - SFNA ASSESSMENT RESULTS 2017/2018 - NECTA

MATOKEO YA DARASA LA NNE 2018/2019 - BOFYA HAPA (SFNA Results) 

matokeo ya darasa la nne 2019/2020
matokeo ya darasa la nne 2019

RATIBA YA MTIHANI DARASA LA NNE 2017 - NECTA


TOP 10 SECONDARY SCHOOLS IN TANZANIA - Shule bora za sokondari.


MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2018


Pata Matokeo Ya DARASA la NNE 2018 Kama yalivyotangazwa na Baraza la Mitihani Tanzania (necta) - SFNA 2018 ASSESSMENT RESULTS - NECTA Darasa la nne 2018 - New Updates 


Matokeo Ya DARASA la NNE 2017 - SFNA 2017 ASSESSMENT RESULTS - NECTA Darasa la nne 2017

 

Matokeo Ya DARASA la NNE 2016 - SFNA 2016 ASSESSMENT RESULTS - NECTA Darasa la nne 2016  

OR

Bofia hapa - Matokeo Ya DARASA la NNE 2016 - SFNA 2016 ASSESSMENT RESULTS - NECTA Darasa la nne 2016

 

Matokeo Darasa la Nne 2015 - SFNA-2015 ASSESSMENT RESULTS - NECTA Darasa la nne 2015 

OR

Bofia Hapa: Matokeo Darasa la Nne 2015 - SFNA-2015 ASSESSMENT RESULTS - NECTA Darasa la nne 2015


Shule walizopangiwa Darasa la saba mwaka 2018/2019 - Form One Selections 2018/2019


RATIBA YA MTIHANI DARASA LA NNE 2017 - NECTA

 

Bofia Hapa: Matokeo Darasa la Nne 2014 - SFNA-2014 ASSESSMENT RESULTS - NECTA Darasa la nne 2014 - to be updated soon



Bofia Hapa: Matokeo Darasa la Nne 2013 - SFNA-2013 ASSESSMENT RESULTS - NECTA Darasa la nne 2013 - to be updated soon

 

OTHER IMPORTANT LINKS 

MATOKEO YA DARASA LA NNE 2017 - MPANGILIO WA MIKOA KWA UBORA WA UFAULU KATIKA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE - SFNA 2017.pdf

 

MATOKEO YA DARASA LA NNE 2017 - MPANGILIO WA HALMASHAURI/MANISPAAKWA UBORA WA UFAULU KATIKA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE - SFNA2017.pdf

 

Matokeo darasa la saba 2017/2018

 

matokeo ya darasa la nne 2017/2018 - SFNA 2017/2018 ASSESSMENT RESULTS - NECTA Darasa la nne 2017/2018 

 

Pata Matokeo Yote Ya Mitihani - One Spot For All The Examination Results - New Updates (Kidato cha Nne, Kidato cha Pili na Darasa la Nne)

STD IV  SFNA 2017/2018 ASSESSMENT RESULTS


Education is the key to life!

KUBADILI ASILIMIA KUWA SEHEMU

a)  Badili 61/4% kuwa sehemu
      Njia: Kubadili 61/4% kuwa sehemu kupita kiasi
      25/4% = 25/4 ÷100/1 = 25/4 x 1/100 = 25/400 = 1/16

b) Badili 12.4% kuwa sehemu
      Njia- Badili 12.4 kuwa sehemu kupita kiasi
      124/10% = 124/10÷100/1 = 124/10 x 1/100 = 124/1000 = 31/250

c) Badili 12% kuwa sehemu
      Njia = 12/100 = 3/25

d) Badili 1/5% kuwa sehemu
Njia = 1/5 ÷100/1 = 1/5 x 1/100 = 1/500

BADILI ASILIMIA KUWA DESIMALI 

Mfano: (a) Badili 250% kuwa desimali
Njia:- 250% = 250/100 - Tenga nafasi za desimali kutoka kulia
kutokana na idadi ya sifuri unazogawia
250/100 = 2.50
(b) Badili 25 1/4%  kuwa desimali
    Njia   Badili 1/4 kuwa desimali 0.25
                              25.25% = 25.25÷100/1 = 25.25 x 1/100 = 25.25 /100
Hesabu  nafasi za desimali kulingana na sifuri unazogawa ukitoa desimali 25.25/100 = 0.2525
               (c) Andika 1/4% kuwa desimali:
                     0.25% = 0.25÷100/1 = 0.25 x 1/100 = 0.25/100 = 0.0025

BADILI DESIMALI KUWA SEHEMU

Mfano:-
a) Badili 0.29 kuwa sehemu
Nafasi 1 ya desimali huwakilisha 10
0.29 = 29/100
b) Badili 12.5 kuwa sehemu
Njia: Andika desimali 0.5 kuwa sehemu  = 121/2
c) Badili 25.13 kuwa sehemu, 
    Njia:- andika desimali 0.13 kuwa  
         Sehemu = 13/100
  25.13 = 25 13/100

KUBADILI DESIMALI KUWA ASILIMIA

Mfano:
a) Badili 0.25 kuwa asilimia
Njia:- Andika desimali katika sehemu
0.25 = 25/100. Zidisha na 100% kuwa asilimia
25/100 x 100% = 25%

b) Badili 1.45 kuwa asilimia
Njia:- Andika 1.45 katika sehemu kupita kiasi
1.45 = 145/100 = 145/100 x 100% = 145%

Matokeo ya darasa la nne 2019/2020