LIST OF FORM FIVE SELECTED STUDENTS FOR THE ACADEMIC YEAR 2015/2016 Updated 1st SELECTION NECTA

FORM FIVE SELECTION 2016 »selection results 2017»KIDATO CHA TANO » NECTA » WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO MWAKA 2015/2016 (SELECTED CANDIDATES TO JOIN FORM FIVE (V) 2015/2016)

OWM - TAMISEMI - MATOKEO YA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO JULY MWAKA 2016/2017 ...... Sasa yametoka rasmi.
FORM FIVE SELECTION 2016/2017
FORM FIVE 

Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2016/2017

OWM - TAMISEMI - MATOKEO YA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO JULY MWAKA 2015/2016

LIST OF FORM FIVE SELECTED STUDENTS FOR THE ACADEMIC YEAR 2016/2017 1ST SELECTION - Are out! Congratulations to all who have been selected!

Pata Matokeo Yote Ya Mitihani - One Spot For All The Examination Results - New Updates (Kidato cha Nne, Kidato cha Pili na Darasa la Nne)


HOW DO TOP STUDENTS STUDY? 

HOW TO BECOME A SUCCESSFUL STUDENT

 

WE WISH YOU A MERRY XMASS! - ALL THE STUDENTS

 

SELECTION KIDATO CHA TANO 2015/2016/SELECTION FORM FIVE 2015/2016 Updated/LIST OF FORM FIVE SELECTED STUDENTS FOR THE ACADEMIC YEAR 2015/2016 SELECTION.

KUANGALIA MAJINA KWA KILA KITUO ULICHOFANYIA MTIHANI PAMOJA NA JOINING INSTRUCTIONS.

1. DOWNLOAD MAJINA YOTE HAPA SELECTION FORM FIVE 2017/2018

 

2. DOWNLOAD MAJINA YOTE HAPA SELECTION FORM FIVE 2016/2017

 

3. FORM FIVE SELECTION 2016/2017 - JOINING INSTRUCTIONS

 

4. DOWNLOAD MAJINA YOTE HAPA SELECTION FORM FIVE 2015/2016 ..........

 

5. TIMETABLE & NOTICE TO CSEE CANDIDATES 2016


Form five posts 2015/2016, Form Five Selection  NECTA 2016 selection post, post form five, post form five 2016, necta selection form five 2015/2016.


OTHER UPDATES

who is the 2017 richest man in the world?

 

PAST PAPERS FOR RIVISION / Form two past papers, Form four past paper, From six past papers (Rivision Made Simple)

 

NECTA CSEE - MATHEMATICS QUESTIONS & ANSWERS - For Revision - New Updates

 

Orodha ya Watumishi wa Umma wenye vyeti FEKI - New Updates

 

THE BETTER METHOD OF STUDY - REVEALED! TO ALL STUDENTS.

 

NACTE - Admission into Certificate, Diploma & Higher Diploma for academic year 2016/2017

 

Message of hope to young people - Once you begin that walk, others will find you and walk with you...

 

TAARIFA KWA UMMA 2016

24-JUNI-2016. 
OR-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016. Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali. Jumla ya wanafunzi 65,720 wakiwemo wasichana 29,457 na wavulana 36,263 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi. Kati ya wanafunzi waliochaguliwa 34,064 wakiwemo wasichana 13,466 na wavulana 20,598 sawa na asilimia 52 watajiunga na masomo ya Sayansi na Hisabati; na wanafunzi 30,897 wakiwemo wasichana 15,445 na wavulana 15,452 sawa na asilimia 47 wamechaguliwa kusoma masomo ya Sanaa na Biashara na wanafunzi 759 wakiwemo wasichana 220 na wavulana 539 sawa na asilimia 1 wamechaguliwa kujiunga na vyuo vya Ufundi.
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2016 wataanza muhula wa kwanza tarehe 11 Julai, 2016 na hakutakuwa na mabadiliko yoyote ya shule. Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti hadi tarehe 24 ambayo ndiyo siku ya mwisho ya kuripoti, nafasi yake itachukuliwa na mwanafunzi mwingine aliyekosa nafasi.
Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi mwaka 2016 pamoja na fomu za kujiunga (joining instructions) inapatikana kwenye tovuti ya OR-TAMISEMI ya www.tamisemi.go.tz


Imetolewa na Katibu Mkuu,
OR-TAMISEMI

Tumia link hii kupata matokeo Waliochaguliwa kidato cha tano na vyuo vya ufundi 2016


WHAT ARE THE HEALTH BENEFITS OF EATING RAW?


TAARIFA KWA UMMA 2015


OWM-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2015/2016.Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali.

Jumla ya wanafunzi 55,003 wakiwemo wasichana 23,303 na wavulana31,700 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi.

 
Kati ya wanafunzi waliochaguliwa 29,744 wakiwemo wasichana 11,450 nawavulana 18,294 sawa na asilimia 54.08 watajiunga na masomo ya Sayansina Hisabati; na wanafunzi 25,259 wakiwemo wasichana 11,853 nawavulana 13,406 sawa na asilimia 45.92 wamechaguliwa kusoma masomoya Sanaa na Biashara.

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2015/2016 wataanza muhula wa kwanza tarehe 18 Julai, 2015 na hakutakuwa nafursa ya mabadiliko yoyote ya shule. 

 
Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti kwa zaidi ya siku 14 kuanzia tarehe ya mwisho yakuripoti, nafasi yake itachukuliwa na mwanafunzi mwingine aliyekosa nafasi.

Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano naVyuo vya Ufundi mwaka 2015/2016 inapatikana kwenye tovuti ya OWMTAMISEMI
ya www.pmoralg.go.tz

Imetolewa na Katibu Mkuu,


Form five posts 2015/2016, Form Five Selection  NECTA 2016 selection post, post form five, post form five 2016, necta selection form five 2015/2016.

Form Six Exams - ACSEE PAST PAPERS - (Revision Made Simple) 

waliochaguliwa kidato cha tano 2016/2017

waliochaguliwa kidato cha tano awamu ya pili 2016/2017

post za kidato cha tano 2016-2017